Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Hapa ndio nyumbani kwa maarifa.Kweli kabisa KF inatisha sana
Wanaume hatari sana hao enzi zao
hahaha...Man Utd tulianza kupendwa na marefa toka zamani.Web mapenati kuna siku alitupa penati ya kizushi hadi nikacheka
.............
Yule ataufaa kwa miaka mingi sana! Achana na mabeki wa kiingerza ambao kila siku wao ni pancha na bei zao kubwa hazishikiki sokoni.Kweli mambo yanabadilika afadhali Bailly kaja jamaa ana roho ya paka
...........
pia msimu uliopita alikosa penati muhimu.7bu waliivunja rekodi ya kutofungwa ya The Mandaz
............
Moja kati ya magoli bora kabisa kuyashuhudia.. Kifup berkgamp alikuwa ankupa vyote, burudani na raha.. Full control, anamchukua ayala, halafu anapiga outer moja matata sana, kama suarez au torres.. Au niseme mipigo ya uncle tom(tomas rosicky) na fundi modricSasa hiyo unaizungumzia Dutch team ya World Cup 1998 pale Ufaransa, walifanya wonders sana, Timu ile iliundwa na wachezaji wengi toka Ajax Amsterdam kama vile Ronald Na Frank De boer, Van Der Sar.
Walifika Nusu wakatolewa kwa matuta, ila mechi dhidi ya Argentina, Denis Bergkamp alipiga goli la kideo sana.
Alipokea pasi ndefu ya juu toka nyuma, jinsi alivyoutuliza ule mpira na kumgeuza beki wa Argentina, Roberto Ayala ilikuwa ni burudani ya nguvu na kamwe haichoshi, kabla ya kufunga goli.
Pitia Youtube ujionee.
Alaa kumbe!! Mastaa nao wana vituko vyao.Huwa naliangalia sana hilo gori, kumbuka pia alikuwa na ugonvi na kocha na hakwenda kumpa mkono, japo ule ushindi ulikuwa muhimu sana kwa kocha
kweli mkuu, kukumbushana ni muhimu!!Poa usichoke kutujuza
..........
SanaAlaa kumbe!! Mastaa nao wana vituko vyao.
Utatu mtakatifu kutoka kwa Holland!!
hapo sawa.Nimekumbuka sasa
Hujaenda mbali na mimi uko sawa mkuu.. Napataga wakati mgumu kumiweka zola kando.. Ndio mwisho wa siku huwa naweka 4 bora. Ili wote wafiti..Bergkamp namkubali sana hasa alipokuja EPL, wachezaji wangu watatu bora wa kigeni kuwahi kucheza Epl miaka ya 2010 kurudi nyuma, Ronaldo, Henry na Bergkamp!!
Sasa hiyo unaizungumzia Dutch team ya World Cup 1998 pale Ufaransa, walifanya wonders sana, Timu ile iliundwa na wachezaji wengi toka Ajax Amsterdam kama vile Ronald Na Frank De boer, Van Der Sar.
Walifika Nusu wakatolewa kwa matuta, ila mechi dhidi ya Argentina, Denis Bergkamp alipiga goli la kideo sana.
Alipokea pasi ndefu ya juu toka nyuma, jinsi alivyoutuliza ule mpira na kumgeuza beki wa Argentina, Roberto Ayala ilikuwa ni burudani ya nguvu na kamwe haichoshi, kabla ya kufunga goli.
Pitia Youtube ujionee.
Alikiwa ana B zote.Moja kati ya magoli bora kabisa kuyashuhudia.. Kifup berkgamp alikuwa ankupa vyote, burudani na raha.. Full control, anamchukua ayala, halafu anapiga outer moja matata sana, kama suarez au torres.. Au niseme mipigo ya uncle tom(tomas rosicky) na fundi modric
Kuna game moja ilikuwa Holland na Yugoslavia, Edgar na Denis walionesha ushilikiano mkubwa sana mpaka wakapata ushindi, kocha alikili kuwa Hao Jamaa hapatani nao lakini matukio ya uwanjani ya Hao Jamaa huwa yanamkuna sanaAlaa kumbe!! Mastaa nao wana vituko vyao.
Imekuwa malonylonya tuu.. Inaboa kuitizama, hasa kwa mtu unaelijua soka.. Kimchezo wana makosa kibao ya kurekebishika lakin wenger akawa hatak.. Nikaweka mahaba kwa atletico madrid mie.hahaha...sijaiifatilia sana Arsenal miaka ya karibuni haswa baada ya Wenger kupoteza ubora wake!!