makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,563
Ndio maana kila siku nasema f.a hawakutaka kuona arsenal wanaweka rekod ya game 50 bila kupigwa.Nakuunga mkono Mkuu Shululu, Mike Riley alionekana kama aliingia Uwanjani na maelekezo ya kuiua Arsenal.
Pamoja na Unazi wangu ila siku ile jamaa alitubeba sana!!
Sana makaveliWote hao.. Ila bergkamp kwa hakika alikuwa ananikosha zaid kwa soka lake, very talented player with skills and vision.. Amongst most completed player i have ever seen.
Seedorf nae alikuwa fundi.. Ronald na frank de boer.. Hapa patrik mzee wa heda, philip cocu, marc overmars n.k.. Walikamilika sana.. Watasubir kuja kupata kizaz kama hicho..
Sikuwahi jua rekodi hii....umetishaPichani namuona Ronald Koeman ambaye enzi hizo alisifika kama beki mahiri anayecheza sana jihadi. Kwa kifupi alikiwa ni beki wa kukata na shoka.
Pia anashikilia rekodi ya kuwa beki aliyefunga magoli mengi zaidi katika mchezo wa soka. Alikuwa ni moto wa kuotea mbali katika kupiga faulo na mikwaju ya penati.
Kwa sasa ni kocha wa Everton ya Uingereza.
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wgumu wanapita.
Sasa hiyo unaizungumzia Dutch team ya World Cup 1998 pale Ufaransa, walifanya wonders sana, Timu ile iliundwa na wachezaji wengi toka Ajax Amsterdam kama vile Ronald Na Frank De boer, Van Der Sar.Niliipenda sana kwa sababu ya Edgar Davis,sedoff, Frank deboer, Dennis Bergkamp, kruveit na wengineo Cocu
Kweli kabisa KF inatisha sanaAlaa...ndio uzuri upo KF, siku moja moja unapata nondo safi kama hizi.
Web mapenati kuna siku alitupa penati ya kizushi hadi nikachekaAhsante kwa picha mkuu, hujawahi kuniangusha.
Huyo refa alikuwa mnazi sana wa Man Utd sahau kuhusu Howard Webb.
Daah sema bahati haikuwa yao wakapigwana Ujerumani.View attachment 391810View attachment 391811View attachment 391812
Niliona video yao walitisha sana
.........
Kweli mambo yanabadilika afadhali Bailly kaja jamaa ana roho ya pakaSoka lilipokuwa Mchezo wa Wanaume sio wavulana.
Leo tuna akina Takuma na Smalling
hahaha...uko vizuri mkuu.Wote hao.. Ila bergkamp kwa hakika alikuwa ananikosha zaid kwa soka lake, very talented player with skills and vision.. Amongst most completed player i have ever seen.
Seedorf nae alikuwa fundi.. Ronald na frank de boer.. Hapa patrik mzee wa heda, philip cocu, marc overmars n.k.. Walikamilika sana.. Watasubir kuja kupata kizaz kama hicho..
7bu waliivunja rekodi ya kutofungwa ya The MandazUnajua kwanini Van Nistelrooy alishangilia sana?
Huwa naliangalia sana hilo gori, kumbuka pia alikuwa na ugonvi na kocha na hakwenda kumpa mkono, japo ule ushindi ulikuwa muhimu sana kwa kochaSasa hiyo unaizungumzia Dutch team ya World Cup 1998 pale Ufaransa, walifanya wonders sana, Timu ile iliundwa na wachezaji wengi toka Ajax Amsterdam kama vile Ronald Na Frank De boer, Van Der Sar.
Walifika Nusu wakatolewa kwa matuta, ila mechi dhidi ya Argentina, Denis Bergkamp alipiga goli la kideo sana.
Alipokea pasi ndefu ya juu toka nyuma, jinsi alivyoutuliza ule mpira na kumgeuza beki wa Argentina, Roberto Ayala ilikuwa ni burudani ya nguvu na kamwe haichoshi, kabla ya kufunga goli.
Pitia Youtube ujionee.
Bergkamp namkubali sana hasa alipokuja EPL, wachezaji wangu watatu bora wa kigeni kuwahi kucheza Epl miaka ya 2010 kurudi nyuma, Ronaldo, Henry na Bergkamp!!Wote hao.. Ila bergkamp kwa hakika alikuwa ananikosha zaid kwa soka lake, very talented player with skills and vision.. Amongst most completed player i have ever seen.
Seedorf nae alikuwa fundi.. Ronald na frank de boer.. Hapa patrik mzee wa heda, philip cocu, marc overmars n.k.. Walikamilika sana.. Watasubir kuja kupata kizaz kama hicho..
Poa usichoke kutujuzaMkuu huwa nina DVD za season reviews hivyo, kuna time huwa nacheki kujikumbushia.
Tuwekee picha wakiwa Ac Milan.Sikuwahi sikia hii
........
hahaha...sijaiifatilia sana Arsenal miaka ya karibuni haswa baada ya Wenger kupoteza ubora wake!!Hapo viera anamchimba mkwara wazza, wazza alinywea kichizi, alikuwa anamuangalia kwa kisura fulani cha uwoga..
Mkuu nakukaribisha katika utunzi wa kitabu kiitwacho the rise n fall of arsenal on wenger's hands.
Msimu uliopita nyuma yake, mechi kama hiyo iliyopigwa OT, Man Utd tulipata Penati dk za jioni kabisa, Van Nistelrooy akaenda kupiga akapiga mwamba wa juu akakosa.Kwa nini
hahaha...we call it defence mechanism!!Ndio maana kila siku nasema f.a hawakutaka kuona arsenal wanaweka rekod ya game 50 bila kupigwa.
Pamoja kubwa lao.Sikuwahi jua rekodi hii....umetisha
.......
Nimekumbuka sasaMsimu uliopita nyuma yake, mechi kama hiyo iliyopigwa OT, Man Utd tulipata Penati dk za jioni kabisa, Van Nistelrooy akaenda kupiga akapiga mwamba wa juu akakosa.
Mechi ikaisha 0-0. Baada ya hapo Wachezaji wa Arsenal wakiongozwa na kamanda Martin Keown, Lauren, Ashley Cole na wengineo wakamfanyia vurugu kubwa kwa kumshika kichwa chake wakimtuhumu alijiangusha ndio maana Utd ikapata Penati.
Pia walimtuhumu kuwa alimdanganya refa hadi capyltain Vieira akapewa red card.