Mdogo wangu tusitenganishwe na mtoto wakat mitumbwi ipo
Mrembo yupo hapa, wewe upo na mimi nipo.. Tumuulize tu moyo wake upo wapi kwa sasa akisema anakuzimia wewe mimi sina kinyongo ntamruhusu, akisema mimi nawe pia utupe tu greenlight joh..
Sio unazunguruka utafikiri kona ya mlevi bhana, mpaka ashike ukuta.