Makapuku Forum

Makapuku Forum

1472626728956.jpg
 
Happy birthday miss Patience.. Mungu akupe umri mrefu wenye baraka na neema tele... Akulinde na mabaya, akuondolee maradhi, akubariki wewe na kizazi chako.
[emoji173] [emoji173] [emoji173]




Ila kama umri atakaokupa una majanga akuchukue fasta..[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Thanks sana, namuomba anipe umri wa kiasi...
Sio nizeeke mpaka niwe kero kwa wanangu au ndugu...

Mola ameisikia dua yako.. Ameen
 
Back
Top Bottom