Mifumo ya makocha, Yaya atabaki dk hizi za majeruhi kweli?Pep hamtaki 7bu anapenda kipa anayecheza km beki wa kati(kuanzisha mpira,kucheza pasi za kupoteza muda n.k)....hiyo kazi Joe haiwezi anajua kudaka haina ubishi
...........
Ana nafasi kubwa ya kubaki 7bu mshahara wake mkubwa na umri umeenda ht umchomeshe mahindi haiwezi kumuuma anakula mkwanja mrefuMifumo ya makocha, Yaya atabaki dk hizi za majeruhi kweli?
Misiasa mavi ya Africa sitaki kusikia
Ana nafasi kubwa ya kubaki 7bu mshahara wake mkubwa na umri umeenda ht umchomeshe mahindi haiwezi kumuuma anakula mkwanja mrefu
..........
Naskia mkataba wa Asamoah Gian nae umeisha anatafuta timu England!!! Alikuwa anavuta mpunga mrefuKm Obi Mikel
Pesa kwanza
..........
Naskia mkataba wa Asamoah Gian nae umeisha anatafuta timu England!!! Alikuwa anavuta mpunga mrefu huko ChinaKm Obi Mikel
Pesa kwanza
..........
Katibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Hiki sio chama bali sehemu ya maujanjauanachama tunaupataje
sawaHiki sio chama bali sehemu ya maujanja
Upo free kuchat
Maelezo yapo post 1-3
.............
..........................
Lakini humu naona tumejaa madume tupu au wanaume ndio makapuku peke yao?Taratibu humu hatufahamiana kwa mapicha bali swaga
Ushakuwa mwenyeji
................
Tupogo pamojaKuwa huru
Jichanganye
Karibu
Wanawake wapoLakini humu naona tumejaa madume tupu au wanaume ndio makapuku peke yao?
Kwakuwa mimi pia nina uzoefu wa kazi za ndani na hatuna mtoto bado, huyu kwa sasa atusaidie kuuza kwenye lile duka letu la nguo kule Mwenge maana yule sharobaro anazingua au unaonaje?Unahisi kazi gani inamfaa.. Vip hakufai kukusaidia kazi za ndani huyu..!!