Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jimena asante kwa magazeti....barikiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahsante mzee kifimbo cheza[emoji23]
Sure, kila kitu na wakati wake.Hakika subira yavuta kheri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo hapo kwa avatar mpendwa.., unakata kwa macho unameza kwa hisia...
Unanunua Pepsi ya 500 unashushia.. Baridaaaaaa
I lap u my cwt"P"..[emoji18][emoji18][emoji18]
Unahisi kazi gani inamfaa.. Vip hakufai kukusaidia kazi za ndani huyu..!!Cc: Makaveli
Mbona wacheka chwiti pii wangu!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We binti msaka kazi, upo tayar mpendwa!!Muulize vizur kama atakuwa tayari
Ngoja tusubiri.. Dili za mwisho mwisho..