Hapo anawaza game tu.
Ndoa ya kuku.....Hapo anawaza game tu.
Kama naona vile honeymoon itakavyokuwaNdoa ya kuku.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Jamaa kapania anafikiri ndoa ni kufanyana tu kila sikuKama naona vile honeymoon itakavyokuwa
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] majanga[emoji134]Humu ni Tango
Hapa basi ntakuwa nimepotea njia kabisaHapana ni Vingongo Forum
Me ni [emoji208]susa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Atajwe tuNdio kabila lake, haina jinsi, tutamtaja tu, nami nasema atajwe tu, maana hamna namna nyinyine..
In pinda's voice
Sasa umaskini unamuitaMbona macho kama ndorobo!!
Jimena we umeona mtoto alivyokushangaa, mtoto hapend pesa huyu.
Walikuwa wanajiandaa kununua kambale ni nini
Weka pichaNgoja nimwambie Bitterpie akuazime sketi
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Hahaha ndoa bila kumudu hiyo kitu ni mtihani ujue.Jamaa kapania anafikiri ndoa ni kufanyana tu kila siku
Kweli ndoa ya kuku...bata haiwezi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..........
Atafunga gori 15 msimu huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji817] [emoji818]
Twin Makavelli anaomba ndoa...unaonaje? kabla sijakubali Nahitaji ushaur wako unamuonaje...kitabia[emoji4]?Atajwe tu