Makapuku Forum

Makapuku Forum

Samahan wadau,
Screen ya sim yangu imecrack vibaya hata sioni!
Nilikuwa nauliza, eti humu ni facebook?[emoji85]
Hapana ni Vingongo Forum
Me ni [emoji208]susa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Mbona macho kama ndorobo!!

Jimena we umeona mtoto alivyokushangaa, mtoto hapend pesa huyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] nikisema sipendi pesa ntakua mnafki...sema iweje nipende pesa ya mfukoni mwa mtu wakati naweza kutafuta yangu mwenyewe....[emoji126][emoji126][emoji126]. Nishawishi na kingine...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom