Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56] nikisema sipendi pesa ntakua mnafki...sema iweje nipende pesa ya mfukoni mwa mtu wakati naweza kutafuta yangu mwenyewe....[emoji126][emoji126][emoji126]. Nishawishi na kingine...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hiyo nayo ni njia ya kutafuta sema tu ni shortcut..

Sio pesa za mtu, ukishakuwa nami hizi ni pesa zetu chimamii,
 
1472569280827.jpg
 
Back
Top Bottom