Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Toa hela tuTeh teh teh.. Mtoto sijui nimfanyie nini mimi. Kanikaa kwa koromeo.
Toa hela tuTeh teh teh.. Mtoto sijui nimfanyie nini mimi. Kanikaa kwa koromeo.
Yeye tu.. Aropoke anataka hela ngap.. Tatzo sio hela tatzo matumiz.. Nahela mpaka naumwa bibie.Toa hela tu
Huyu ndo mzee wetu humuAkiaga huyu itakuwa balaa sasa
Du kumbe ninaishi wakati uliopitaLol Jambilo alibadili jina longtime kwasasa anaitwa Quigley
Mi ni mspanish
Ahsante sana!!Katuacha na kwa hisani ya szczesny
Amen katibu wangu!!Shukrani sana kwa historia mwenyekiti
Alikuwa anaujua sana!!Bonge la kiungo
Pamoja sana!!Senkyu men
SanchezBonge la fundi.. Sijui nimfananishe na nani kwa uchezaji wake..
Na mimi ninalotabasamu la hivyo
Mbavu zangu mimiKazi ipo tu labda useme kingine.. Nakupa kazi, mshahara mzuri.. Wewe tu na roho yako..
Ushawahi kuona beki 3 ana beki 3 wake.. Nakupa kazi ya ubeki 3 halaf nakutaftia beki 3 wako.


SanaaaDu kumbe ninaishi wakati uliopita
Aiss nitahama pandagi chiza....narudi Dodoma!Sanaaa
Kipensi...Nilikuwa napenda kumuita.. Commando kipensi.



Teh teh teh.. Mtoto sijui nimfanyie nini mimi. Kanikaa kwa koromeo.

