Th Name :Angalia na huo msaada unaotoa [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haaminiki huyo, mambo yakimuendea vibaya atakulaumuNdugu yangu kabisa huyu na si unajua tulianza kuimbisha wote so kupigwa kwangu chini ni aibu yake pia so hana namna tena na nikiona hakieleweki mi najitoa namwachia msala mwenyewe Th Name
ndugu yangu unaniangusha ujue
ngoja nijitoe tu maana uelekeo sio mzuri kabisa. Nafanya yangu mengine sasa hapa namsubiri baby wangu aje tuTh Name :Angalia na huo msaada unaotoa [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haaminiki huyo, mambo yakimuendea vibaya atakulaumu
Sasa ntamwambia nini honey wangu? Gari limetoka kwa nani? Na kwanini amenipa? Na nina mahusiano gani na huyo aliyeninunulia gari?ok, ngoja nikuagizie..
nipe week mbili nitakuwa nmeshakufanikishia hilo gari na utalipata
Mkuu jina lako limenikumbusha mbali sana.
Kweli. Msubiri tu wifi Lizzy mfanye yenu [emoji2]ngoja nijitoe tu maana uelekeo sio mzuri kabisa. Nafanya yangu mengine sasa hapa namsubiri baby wangu aje tu
Kuwa unanipenda.Niseme nini[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Wivu sina ila roho inaumaTatizo una wivu sana
Mkuu mvua isiponyesha hata jf hutaifungua mkuu, acha inyeshe tun
ipo powa mkuu .. mvua ndo kero hapa
Vumilia tu mkuuWivu sina ila roho inauma
[emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kuwa unanipenda.
unajaribu kumaanisha niniMkuu mvua isiponyesha hata jf hutaifungua mkuu, acha inyeshe tu
Mkuu hata mimi nimeona uelekeo wa amaizing si mzuri kabisa sasa we ukikata tamaa mapema hivyo na wewe ndiyo mshenga unadhani mimi ntabaki kweliii?ngoja nijitoe tu maana uelekeo sio mzuri kabisa. Nafanya yangu mengine sasa hapa namsubiri baby wangu aje tu
Punguza munkari [emoji113] [emoji27][emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nahrene huyo Emmyguy anamshoboko sana nitam[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Punguza munkari [emoji113] [emoji27]
nyie wawili ni shida tena?[emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kuwa unanipenda.