shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Szczesny kakuachia majonzi sanaKaribu
Hata kusoma post imekuwa shida
Szczesny kakuachia majonzi sanaKaribu
Thanks JJView attachment 390130View attachment 390131View attachment 390132
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika magazeti ikiwa basi ni kumbukumbu maalumu ya Szczesny Carenza
Niite Jimena Jimenes na muwe na siku njema yenye mafanikio tele
Bonge la kiungo1972 - Pavel Nedved anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
Senkyu men
Kazi ipo tu labda useme kingine.. Nakupa kazi, mshahara mzuri.. Wewe tu na roho yako..Jana nilivyoona tu nikapata presha ghafla...kaz yenyewe sina tena.
Mwenzangu we 10 kubwa hamna tena...Nimelazwa nna presha tangu...jana maana siamini kama mzee wa kumi kubwa anatoka humu.
![]()

NdioWewe ndo JJ![]()
Kweli kabisaSzczesny kakuachia majonzi sana
Hata kusoma post imekuwa shida
PleasureThanks JJ
Tisha mbayaaaaKazi ipo tu labda useme kingine.. Nakupa kazi, mshahara mzuri.. Wewe tu na roho yako..
Ushawahi kuona beki 3 ana beki 3 wake.. Nakupa kazi ya ubeki 3 halaf nakutaftia beki 3 wako.
Bonge la fundi.. Sijui nimfananishe na nani kwa uchezaji wake..1972 - Pavel Nedved anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
AissNnachompendea Cameroon Diaz anapenda sana kutabasam...
Nilikuwa napenda kumuita.. Commando kipensi.
Uko sawa kabisa.. Historia haikupigi gaucho elastico..Nimecheki ilikuwa chin ya japan toka 1941 dec to 1945. Na walipigana vita kwa siku 17 from 8-25 Dec 1941
Kiungo mchezeshajiBonge la kiungo
Teh teh teh.. Mtoto sijui nimfanyie nini mimi. Kanikaa kwa koromeo.Tisha mbayaaaa