Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nimeshafika![]()
Ngoja J aje
![]()
Mi hujanikosea kabisa.Sikuharibii tena mi nimetubu nahapa sitovuruga ndoa za watu tena...eeh Baba nisamehe
Nakala kwa:
Jimena
Patience123
Twende tukale out leo![]()
![]()
![]()
![]()
Alaf hajapika had now
Hahahahahaha nimecheka sanaYani we acha tu full kuchoka, leo jion nipike nini dada?
Akilini yupo nani?Yaani huyo hayupo tena akilini mamaa pambana naye tu.![]()
DaaahTwende tukale out leo
Pole pachaFamily i am sorry today sitowaletea "Old is ever Gold"...kidogo siko sawa ki mood. Asanteni
Nasikia nyumba ndogo yako imekushinda??Utakua dadangu mzuriee
Weka pichaNimekusamehe mumy
Pole sanaaFamily i am sorry today sitowaletea "Old is ever Gold"...kidogo siko sawa ki mood. Asanteni
Leo tukale out... Tulale huko huko home keshooooDaaah
Leo sili mapishi yako!!?
Kumbe moyo huwa unapasukaAtanipasua moyo huyu kipenzi
Nshampa talaka, kwa sasa natafuta kijana mdogo kabisa, hawa vikongwe walio miss some stages ujanani wana tabu sana.

Hebu weka pichaKumbe moyo huwa unapasuka
Ipi tena jmn mimi cna, binamu aliichukuaga bhanaNasikia nyumba ndogo yako imekushinda??
Ongea naye vizuriMi namuamini kweli kweli lakin eb.rudsha moyo nyuma
Tumesha zeekana tutulizane, wew ukisema wanini wengine wanasema ntampatajeChini ya miguu yangu kwani wewe viatu?
Rudisha moyo shemeji yanguAsante mamy, jilie kwa uhuru sasa..
Hapo sawaNyumba kubwa...![]()