shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nimeamka salama kabisa, vp huko kwako mko poa?Aiiii
Morning mkuu leo nimejidamka pameeema now
Umiamka salama ee!?
Nimeamka salama kabisa, vp huko kwako mko poa?Aiiii
Morning mkuu leo nimejidamka pameeema now
Umiamka salama ee!?
Duuuh!!How r u my cwt"p"
![]()
![]()
![]()
HaaaaHuu ni uongo, mnatuita baby kwa kisingizio cha mapenzi, kumbe mnatupumbaza mchepuke, nimeshashtuka hadanganywi mtu hapa tena
MmmmhNiite kaka, nami nakuita dada.
Nikikuoa niite mume, nami ntakuita mke.
Tuache maigizo ktk maisha, turudishe uhalisia![]()
![]()
![]()
![]()
iiiiiiiiTeh teh teh... Come close upate hug ya tycoon makaveli.
Sweet binamu una chelewa kuamka kweliMorning all
Magazeti ya leo yanafuata hivi punde
Apo gudiKwa hisani ya Man United na Real Madrid tuyatazame magazeti yaliyotufikia siku ya leo
Huyu 123 nani achukue wew!!!? Heeee!!!Haaaa
Bro kwan 1 2 3 4 kesha peuliwa!!?
AaahEti... Si ulinitambulisha kuwa huyu ni dada yako? Mbona sielewi what's going on here. .
Haya ahsanteView attachment 389020View attachment 389021View attachment 389023
Nimemaliza.
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami. Naitwa Jimena Jimenes na nawatakia mapumziko mema.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya Real Madrid na Manchester United
Nadhani ruhusa haita tolewaNgoja nikaombe ruhusa kabla hujani hug....![]()
![]()
![]()
![]()
Missing you more..Aaah
1 2 mara ya 3
![]()
Nlikumis
DuuhKaanza kunibagua kimtindo... Coz ana bibi mupya.
Unafukua makaburi sasaHaaaa
Bro kwan 1 2 3 4 kesha peuliwa!!?
Sikuamini niachie 123 wanguAaah
1 2 mara ya 3
![]()
![]()
Nlikumis
HiiiiiiiiUsiwe mjinga wew, fuatilia uzi, huyu ni mke mwenzie na jimena, ila hajatulia anataka kutuharibia nami nimeonyesha msimamo cmtaki

Taratiibu na mme wa jimena na sweetiepieMissing you more..
EeheheheheMmeo naye haja2lia...![]()