Bora tu niwaachie nyinyi..Jana alisema yupo na wewe...basi atakuwa ana bibi mwingine tena huyu![]()
Mimi nilishakuachia wewe nimetubu tayari...nikasema small house tena NO. Wewe ndio wa halali had vitabu vinakutambuaBora tu niwaachie nyinyi..
Mapenzi ya mgao kama umeme wa Tanesco hata siyawezi..


Na wewe inabidi umbague tu, maana hamna namna nyingine sasaKaanza kunibagua kimtindo... Coz ana bibi mupya.
Jirani misumari hii sasa...Na wewe inabidi umbague tu, maana hamna namna nyingine sasa



Nilimwachaga kabla yako, tukabaki dada na kakaEti... Si ulinitambulisha kuwa huyu ni dada yako? Mbona sielewi what's going on here. .
Nikuache ww niende wapiBora tu niwaachie nyinyi..
Mapenzi ya mgao kama umeme wa Tanesco hata siyawezi..
Shululu najua unamtaka mke wang lakin sasa afya yako hairuhusu, umezuiwabadaktariNa wewe inabidi umbague tu, maana hamna namna nyingine sasa
Kwa huyo sweetapple wako... Niwaache muwe huru.Nikuache ww niende wapi
Heheheee... Huyu wa juzi ndo umemwacha kabla yangu? Endeleeni tu, mimi nileee tu mwananguNilimwachaga kabla yako, tukabaki dada na kaka
Kisaikolojia nishaanza kumbagua...Na wewe inabidi umbague tu, maana hamna namna nyingine sasa
Usiwe mjinga wew, fuatilia uzi, huyu ni mke mwenzie na jimena, ila hajatulia anataka kutuharibia nami nimeonyesha msimamo cmtakiHeheheee... Huyu wa juzi ndo umemwacha kabla yangu? Endeleeni tu, mimi nileee tu mwanangu
Najua unamtaka shululu naye ni mgonjwa.Kisaikolojia nishaanza kumbagua...
TwenzetuBasi bas twende ibadan
Sweetapple tena?? kumbe ana wengi huyuKwa huyo sweetapple wako... Niwaache muwe huru.