Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
DoneMorning, waiting
DoneMorning, waiting
Weka pichaEti... Si ulinitambulisha kuwa huyu ni dada yako? Mbona sielewi what's going on here. .
Cc 😡QUIGLEYKukuita kaka ni defencing mechanism hiyodhidi ya michepuko mipya ikiona mesej, i say NO NO NO
....wewe ntakuita my love tu kataa na hiyo tuone....
![]()
Madrid walipata ngapi vile mi nililala sikuendelea kuangaliaKwa hisani ya Man United na Real Madrid tuyatazame magazeti yaliyotufikia siku ya leo
2 uwe unasoma text zilizopita maana bitoz huwa anaweka updatesMadrid walipata ngapi vile mi nililala sikuendelea kuangalia
Fumanizi LIVE....Eti... Si ulinitambulisha kuwa huyu ni dada yako? Mbona sielewi what's going on here. .




2 uwe unasoma text zilizopita maana bitoz huwa anaweka updates
Subiri niwaitie OFM...Fumanizi LIVE....![]()
Karibu, za kupoteaSichezi tena na wewe. ..
Asante kwa newsView attachment 389020View attachment 389021View attachment 389023
Nimemaliza.
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami. Naitwa Jimena Jimenes na nawatakia mapumziko mema.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya Real Madrid na Manchester United
Fanya hivoSubiri niwaitie OFM...
Thanks JJDone
Bado nahangaika hapa narudi nazo nyuma ku like taratibu2 uwe unasoma text zilizopita maana bitoz huwa anaweka updates
Mimi nilijua mmeenda nayeNgoja atoke ibadani anieleze kinagaubaga..
Cc sweetiepie
Nakwambia he is better off without you....you deserve better.Ngoja atoke ibadani anieleze kinagaubaga..
Kaanza kunibagua kimtindo... Coz ana bibi mupya.Mimi nilijua mmeenda naye
Jana alisema yupo na wewe...basi atakuwa ana bibi mwingine tena huyuKaanza kunibagua kimtindo... Coz ana bibi mupya.

