Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
MorningMorng banduguz
MorningMorng banduguz
Weka picha

Mambo baby ake...

Hapana mimi sio baby jmnMambo baby ake...![]()
Familia yake kwa ujumlaFamily ipi?...dadavua
Kwanini leo wewe sio baby?Hapana mimi sio baby jmn
Nimesha kua, nimevuka miaka 18, sio baby tenaKwanini leo wewe sio baby?
Duuuuh kwahiyo nikuiteje?Nimesha kua, nimevuka miaka 18, sio baby tena







Huu ni uongo, mnatuita baby kwa kisingizio cha mapenzi, kumbe mnatupumbaza mchepuke, nimeshashtuka hadanganywi mtu hapa tenaKwanini leo wewe sio baby?
Niite kaka, nami nakuita dada.Duuuuh kwahiyo nikuiteje?![]()

Morning...How r u my cwt"p"
![]()
![]()
![]()
we ni yule Makaveli orijinali? au ni jina la ukoo.Lazma yamekukuta weweeeHuu ni uongo, mnatuita baby kwa kisingizio cha mapenzi, kumbe mnatupumbaza mchepuke, nimeshashtuka hadanganywi mtu hapa tena





Ndio yamenikuta, ulivyoniacha ulifikiri nilifurahiLazma yamekukuta weweee![]()

Kukuita kaka ni defencing mechanism hiyoNiite kaka, nami nakuita dada.
Nikikuoa niite mume, nami ntakuita mke.
Tuache maigizo ktk maisha, turudishe uhalisia![]()
![]()
![]()
![]()
dhidi ya michepuko mipya ikiona mesej, i say NO NO NO 

....wewe ntakuita my love tu kataa na hiyo tuone....


Mie ndio yule orijinali...Morning...we ni yule Makaveli orijinali? au ni jina la ukoo.
iiiii sasa si ulimrudia 123!! na mimi ningebaki na nani sasa...Ndio yamenikuta, ulivyoniacha ulifikiri nilifurahi![]()

