Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
AaaahLeo katika Historia:
1898 - Caleb Bradham anagundua kinywaji cha Pepsi Cola.
Uwa nakunywa iyo cola pepsi
AaaahLeo katika Historia:
1898 - Caleb Bradham anagundua kinywaji cha Pepsi Cola.
Nani amwibie weweDuuh
We mwenyewe unakuja kwa manati kuibiwa lazma hapo
(Cja sema umeibiwa lakin)
Majukumu shemeji...Duuh
We mwenyewe unakuja kwa manati kuibiwa lazma hapo
(Cja sema umeibiwa lakin)
Yes nilikuwa ujerumani masomoni mida hiyo1916 - Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Italy yatangaza vita dhidi ya Ujerumani.
PoyeeeeDuuuh...![]()
Kwani uongoHiiiiiiii![]()
Sasa mkuu
![]()
![]()
Nilifanya kazi hapo pako uzuri sana1938 - Kampuni ya magari ya Toyota yaanzishwa kama kampuni huru.
Sweetiepie ni wa kwako... acha kuvunga.Taratiibu na mme wa jimena na sweetiepie
Poa ngoja niende zangu...sikusumbui tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaaah1963 - Martin Luther King Jr atoa hotuba yake maarufu ya " I Have a Dream "
Heee usinichafue bure, mimi navumilia hadi uimarike bhanaMajukumu shemeji...
Ya kum handle huyu sweet darling wangu...
Ila macho juu juu tu... Skirt haimpitii kando kabisa..
Eeeh1990 - Iraq yatangaza nchi ya Kuwait kuwa ni sehemu ya Jimbo lao.
Hali iliyopelekea kuibuka kwa vita vya Ghuba.
Tumesoma naye uyu1938 - Paul Martin anazaliwa.
Ni Waziri Mkuu wa 21 wa Canada.
Cmjui huyu1989 - Cesar Azipilicueta anazaliwa.
Ni beki wa pembeni wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania.
Mazishi yake tulihudhuria mimi na Salim ahmed1984 - Muhammad Naguib anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Misri.
AhsanteeeeLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Rashford na Man Utd sina la ziada, tukutane kesho.
Jumapili njema.
Hapana kwa kweliNa hiyo hotuba inauhusiano na urais wa Obama
Cc QuigleyMissing you more..
AaahItaly alimgeuka Ujerumani na kuwa upande wa Waingereza hali iliyopelekea Ujerumani kupigwa vibaya sana kwenye vita ya kwanza ya dunia.
Baada ya hapo Hitler akaibuka kurudisha heshima ya Ujerumani.