Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Wewe ni mvumilivu bhaana acha hizo (Patience)Heheheee... Huyu wa juzi ndo umemwacha kabla yangu? Endeleeni tu, mimi nileee tu mwanangu
Wewe ni mvumilivu bhaana acha hizo (Patience)Heheheee... Huyu wa juzi ndo umemwacha kabla yangu? Endeleeni tu, mimi nileee tu mwanangu
Asante kwa magazeti.View attachment 389020View attachment 389021View attachment 389023
Nimemaliza.
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami. Naitwa Jimena Jimenes na nawatakia mapumziko mema.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya Real Madrid na Manchester United
Kujitetea on fleekUsiwe mjinga wew, fuatilia uzi, huyu ni mke mwenzie na jimena, ila hajatulia anataka kutuharibia nami nimeonyesha msimamo cmtaki



Mmeo naye haja2lia...Ngoja atoke ibadani anieleze kinagaubaga..


QuitKujitetea on fleek![]()
AsanteMkuu ukienda page ya 1 ukasoma post ya 1- 3 basi utakuwa umeshapata majibu ya swali lako
Karibu sana
Unamuathiri 123 kisaikolojiaQuit
Usibemende mtoto, tutulie huyu swtp ni adui wa furaha yetuKwa huyo sweetapple wako... Niwaache muwe huru.

Nenda zako adui wa msalaba wwUnamuathiri 123 kisaikolojia
Duuuh...Usibemende mtoto, tutulie huyu swtp ni adui wa furaha yetu![]()




Nisamehe jmn ni utani usiharb ck bureDuuuh...![]()
Leo katika Historia:
1898 - Caleb Bradham anagundua kinywaji cha Pepsi Cola.
Poa ngoja niende zangu...sikusumbui tenaNenda zako adui wa msalaba ww



Itakuwa waliiga brand name
1916 - Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Italy yatangaza vita dhidi ya Ujerumani.