Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,641 Jimena said: We nenda jioni Click to expand... Mimi sasa hivi ni kama Rapunzel namsubiri Knight wangu aje anitoe kifungoni...
Jimena said: We nenda jioni Click to expand... Mimi sasa hivi ni kama Rapunzel namsubiri Knight wangu aje anitoe kifungoni...
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #91,642 Sweetiepie said: Hamna naongea ukweli niko deep sana kuhusu hiyo mada ya bakora ujue Click to expand... Yes Yaan i mean unaongea vitu ambavo Kuna mtu ilibid ndo aviseme Sio kwamba una pretend Duhhh Lugha zangu kueleeka ni ngum
Sweetiepie said: Hamna naongea ukweli niko deep sana kuhusu hiyo mada ya bakora ujue Click to expand... Yes Yaan i mean unaongea vitu ambavo Kuna mtu ilibid ndo aviseme Sio kwamba una pretend Duhhh Lugha zangu kueleeka ni ngum
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,643 Szczesny said: Yes Simba Arsenal Chelsea Click to expand... Sawa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,644 shululu said: Mimi pia huwa sipo kama kubwa lao Cc bitoz Click to expand... Nyie sio kwamba hampo bali hamna shabaha
shululu said: Mimi pia huwa sipo kama kubwa lao Cc bitoz Click to expand... Nyie sio kwamba hampo bali hamna shabaha
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 27, 2016 #91,645 Jimena said: So soon!! Mi labda kwenye 120 Click to expand... Mimi labda kwenye 400 kama kunguru
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,646 Szczesny said: Ndio labda niwe siyo baba ake Aki balehe aka leta ujinga ana pgwa Click to expand... Hawezi kuleta ujinga sababu mama ake hajawahi kipigwa ila ana tabia nzuri
Szczesny said: Ndio labda niwe siyo baba ake Aki balehe aka leta ujinga ana pgwa Click to expand... Hawezi kuleta ujinga sababu mama ake hajawahi kipigwa ila ana tabia nzuri
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #91,647 werrason said: Umitubu LAKINI??? Click to expand... Hahaha Ukifa huend popote mkuu una pumzika tuu Stubu kwa mtuu
werrason said: Umitubu LAKINI??? Click to expand... Hahaha Ukifa huend popote mkuu una pumzika tuu Stubu kwa mtuu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,648 Szczesny said: Aaaah I.... U its like unaongea vitu nnavo taka niskie Click to expand... Anajaribu kukuwin
Szczesny said: Aaaah I.... U its like unaongea vitu nnavo taka niskie Click to expand... Anajaribu kukuwin
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 27, 2016 #91,649 Jimena said: Hiki kicheko ni cha uchochezi kabisa Click to expand... Weka picha
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,650 Jimena said: So soon!! Mi labda kwenye 120 Click to expand... Huko 120 kwa maisha ya siku hizi hufiki....labda ukaishi china wakupe ile chai ya majani yanayoongeza life span. Siyafahamu lakini
Jimena said: So soon!! Mi labda kwenye 120 Click to expand... Huko 120 kwa maisha ya siku hizi hufiki....labda ukaishi china wakupe ile chai ya majani yanayoongeza life span. Siyafahamu lakini
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,651 Szczesny said: Hahaha Walaaa JJ wangu yupo Click to expand... Hivi Sweetiepie kaiona hii
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,652 Cobblepots said: Ahsante sana Sweetiepie. 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Click to expand... Karibu Cobblepots
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 27, 2016 #91,653 shululu said: Umeombewa tayari Click to expand... Anataka akuombee wewe
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 27, 2016 #91,654 Szczesny said: Yes Yaan i mean unaongea vitu ambavo Kuna mtu ilibid ndo aviseme Sio kwamba una pretend Duhhh Lugha zangu kueleeka ni ngum Click to expand... penze chali!!!
Szczesny said: Yes Yaan i mean unaongea vitu ambavo Kuna mtu ilibid ndo aviseme Sio kwamba una pretend Duhhh Lugha zangu kueleeka ni ngum Click to expand... penze chali!!!
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,655 Szczesny said: I loove death, ubinadamu unachosha After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer Click to expand... iiiiih??
Szczesny said: I loove death, ubinadamu unachosha After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer Click to expand... iiiiih??
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #91,656 Jimena said: Mi naijua ila sio kigamboni, imepakana na amani beach Click to expand... Uwa naogopa maji Siend beach sana I feel kama yata nivuta hivi Kukulia bara huku
Jimena said: Mi naijua ila sio kigamboni, imepakana na amani beach Click to expand... Uwa naogopa maji Siend beach sana I feel kama yata nivuta hivi Kukulia bara huku
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,657 Szczesny said: I loove death, ubinadamu unachosha After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer Click to expand... Na nyie mnapenda kifo ndio huwa hamfi ng'o
Szczesny said: I loove death, ubinadamu unachosha After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer Click to expand... Na nyie mnapenda kifo ndio huwa hamfi ng'o
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Aug 27, 2016 #91,658 werrason said: Sweetiepie nina mafuta ya kipago unatakiwa nikupake Click to expand... Ndio nini hiyo??
werrason said: Sweetiepie nina mafuta ya kipago unatakiwa nikupake Click to expand... Ndio nini hiyo??
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 27, 2016 #91,659 shululu said: Mimi labda kwenye 400 kama kunguru Click to expand... Bro walio kufa wana raha
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 27, 2016 #91,660 Jimena said: Nyie sio kwamba hampo bali hamna shabaha Click to expand... Ina maana mpaka wamulikiwe?