Makapuku Forum

Makapuku Forum

Daah iko vizur hiyo mi wazazi wangu wameishi miaka 35 kifo tu ndo kimemchukua baba pia sikuwahi ona wanapigana wala kuzozana na mama. kwa upande mwengine Mwanamke hadi kupigwa ni kweli itakuwa ametibua sana hali ya hewa
Kwanza pole
Then asili ya familia ynu nme ipenda ukiwa na mtu wazaz wake walikaa mda mrefu kuna posibility ya mtoto nae kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

Then ndo maana umenielewa, wakati mama zetu hawakupigwa, wao pia wali behave vzuri sana
Hapo ukipigwa ni jmbo jingne
 
Sweetapple ni mwingine alinizinguaga kule MMU kipindi nimejoin tu JF akawa anadai eti nimemuibia ID yake...nikamuuliza Pie na Apple ni kitu kimoja? akakosa jibu..badae nikaja KF na Sweetiepie ni mwingine ambae ni mimi usije changanya hawa watu ndugu.
CC: Werrason mutu ya kongo maana naona ushasema Epopai hapo nimeelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom