cute b popote ulipo kwa kuonyesha jinsi ninavyokujali ...Naomba uniambie kama umekula lunch? lizziebettie please naomba fuatilia kwa karibu mtiririko huu na kama kuna mahali utaona nakusoe usisite kuniambia kaka hapo unakosea..Wewe kuwa mtazamaji sasa...
lizziebettie Na kama dada angu ni jukumu langu kujua kama umepata lunch na isiwe lunch tu iwe ni lunch matata unless otherwise tutaitisha kikao na atakae jibu tuhuma hizo atakuwa Th Name