Makapuku Forum

Makapuku Forum

91k tayari!!

Ngoja nitoe mpango kazi wangu kuelekea 100K.

Vita yote sasa ni 100k.

Hizo nyingine sijui 92k mpk 99k nitawaachia wenzangu wa mchangani wakiongozwa na JJ.

Hivyo basi nitangaze rasmi nimeanza kazi ya kuitafuta 100k kwa Udi na Uvumba.

Nakala kwa:
Jimena
Szczesny
shululu
Sweetiepie
jonax
werrason

Angalizo:
Kubwa lao huwa hayupo katika ligi hiyo, lakini sipuuzii uwepo wake!!
Mweeer
Mi nlisha staafu hata nakala usi hangaike nayo
 
Robbert Barisdord maarufu kama "Bobby brown" alizaliwa Februari 5, 1969, ni mmarekani anayeimba muziki miondoko ya R&B pia ni mwandishi wa miziki, mchezaji, na muigizaji. Brown alianza tasnia ya muziki na kikundi kimoja nakikubali sana hawa jamaa wanaitwa "New Edition" kilianza 1978 hadi pale alipolazimishwa kujitoa mwaka 1985 kutokana na tabia zake mbaya ( hawajasema ni tabia gani mnaweza kuwa mnazifahamu), hakugive up kwenye gemu la muziki alifanikiwa kusimama mwenyeeewe ambapo alitoa albamu yake ya kwanza "Don't be cruel" (nakielewa sana hicho) ambapo track hiyo ilishika sana namba moja mara nyingi katika UK top hits. Pia inafahamika kuwa alifanya muziki ambao uliwachanganya wengi kutoka kwenye R&B hadi uitwao "New jack Swing". Mwaka 1992 alimuoa mwanamuziki wa Pop aitwae Whitney houston (aliyezaliwa 1963 cheki age range hiyo wenzetu hawana noma) hadi hapo 2007 walipoachana lakini mwaka 1993 walifanikiwa kuji patia mtoto wa pekee marehemu Bobbi Kristina Kristina Brown (1993-2015). Couple hii iliwahi kufanya reality show iitwayo "Being brown". Jamani huyu mtu ana history ndefu sana kutoka kwenye kundi alilokuwepo kabla hajasimama mwenyewe kama Solo Artist sitomuongelea sana hapa ila nawaletea track zake mbili ya kwanza nnaikubali sana hadi kesho inaitwa "Rock with you" na "Every little step". Karibuni mburudike na weekend njemaView attachment 388613View attachment 388615
Ohooo kumbe ililetwa
 
Aaah
Role model wangu huyu ana tumia madawa yet hafi heheheheheeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom