yaani huku nikikuacha kidogo tu wanakusumbua bora tuwe tunachat PM tu..
Hahahahaaaa..... Mtaanzaje kwenda pm huko mkaziachia hizi 'likes' zetu.Kabisa emmyguy ana shobo sana[emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kanikataa bana ila ngoja nirudiUfike salama mshana Jr vipi cute b umempitia?
Naona Chelsea umeiingiza kimakosa, hizo nyingine nna mahaba nazo sanabila shaka kwenye nyekundi si uamuzi wako , kuna mtu amekulazimisha kuzipenda ...
karibu http://simbasports.co.tz/
FC Barcelona
Fanyeni muwapeleke feriPerege na kambale
Na ninyi wapelekeni chatu mbuganiFanyeni muwapeleke feri
Ukiporomoka au wakikutungua mie simooo[emoji119] [emoji119]Msata moja mpaka pangani tuombeane
Maneno [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ya mkosajiili iweje na impe faida nani? ukweli utakuweka huru
Hivi Barca bado ipo au imetolewa?
nakupendaUlikuwa hujui? Nyie si mnafuga vyura na samaki?[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yanakuhusu lakini???Hahahahaaaa..... Mtaanzaje kwenda pm huko mkaziachia hizi 'likes' zetu.
Wewe Linamo, huyo jamaa yako anakusumbua tu. Hapa penyewe jana kaachana na msichana wa mtaa wetu.
Yanakuhusu lakini???Hahahahaaaa..... Mtaanzaje kwenda pm huko mkaziachia hizi 'likes' zetu.
Wewe Linamo, huyo jamaa yako anakusumbua tu. Hapa penyewe jana kaachana na msichana wa mtaa wetu.
Precautions takenUkiporomoka au wakikutungua mie simooo[emoji119] [emoji119]
Safari njema Mshana......ila pangani kunani ? Au ndo kwenye zile kazi [emoji2]Msata moja mpaka pangani tuombeane
Mfanyizie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kanikataa bana ila ngoja nirudi
shemSafari njema Mshana......ila pangani kunani ? Au ndo kwenye zile kazi [emoji2]
Usiulize sana. Atakugeuza kuku bure shauri yakoSafari njema Mshana......ila pangani kunani ? Au ndo kwenye zile kazi [emoji2]
Wee vipi?mke wetu sio wako peke yako