Makapuku Forum

1908 - Lyndon Baines Johnson anazaliwa.

Ni Rais wa 36 wa Marekani.

Alikuwa Rais kufuatia mauaji ya Rais John F. Kennedy huko Texas.

Anabaki kuwa Rais pekee nchini Marekani kula kiapo cha Urais katika Ndege ( Airforce One ).

Hii ilikuwa ni baada ya yeye makamu wa Rais kupewa Urais kutokana na kifo cha JFK.

Hivyo akaapishwa akiwa kwenye ndege kutoka Texas yalipofanyika mauaji na kurudi Washington kuanza majukumu ya Urais.
 

Shujaa asiywimbwa
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…