Makapuku Forum

5, shera mbili za japani 1. Ni marufuku kuwa mnene japani, kwa mtu yeyote mwenye miaka 40 na zaid hutakiwi kuzidi kiuno cha nchi 32 na kwa wanawake kiuni kiszid nchi 36, na serikali za mtaa zenye watu wanene wengi hupigwa faini za kila mwezi


2. Japan ni lazima kuheshimu wakubwa ,kiasi kwamba kama una kaka yako amempenda girlfriend wako na ana nia ya dhati ya kumuoa , ilikuonesha una muheshimu lazima umwachie huyo mpenzi wako aolewe na kaka yako , hapo ni sheria ya kuheshimu wakubwa
 
Hata Dr hurusiwi kumzalisha mama mja mzito
 
4, Ndoa na binamu yako-Utahhurubusiwi kumuoa au kuolewa na binamu yako huko jimbo la Utah, na baada ya watu kupigania sana sheria iangaliwe upya , sheria ilipitiwa na kuruhusu mabinamu wenye umri wa kuanzia miaka 65 na kuendelea tuu ndio waweza kuona, kwa kuwa hao wana jitambua kwenye maamuzi yao
 
1/Naunga mkono
2/Hapana kaka angu hawezi chukua demu wangu ....tutauana
Sipendi heshima za kimbuzi
.......
 
3, Kufariki Bungeni-Uingerezawaheshimiwa wabunge huko uibgereza hawaruhusiwi kufariki ndani ya jengo la bunge, sababu hasa haijulikanj lakini inadaiwa kwao bunge ni mahala patukufu na ukifia hapo lazima msiba wako uwe wa kitaifa, na sasa ndio maana mbunge yyte akionesha dalili zozote zszo nzuri ana tolewa haraka na kupewa huduma ya Afya au akafie huko nje ikiwezekana
 
Huko sikanyagi.
 
Si wajinyongee humohumo

..........
 
Miaka 8
hana wazazi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…