Makapuku Forum

NUKUU NO 3#

Kama haiwezekani ukaogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, basi ni heri uogopwe kuliko kupendwa.
Kwa hakika, ni jambo jema kwa binadamu kuogopwa kuliko kupendwa.

Haya yalitamkwa na mwanafalsafa wa kale wa Italy. Niccolo Machiavelli.

Alizaliwa huko Florence mnamo Mei 3,1469 na kufariki Dunia katika mji huo huo.
Machiavelli, ambaye alikuwa pia mwanadiplomasia, aliandika kitabu chake cha kwanza mwaka 1499 kinachoitwa Discourse on Pisa.
Hata hivyo kitabu chake maarufu na kinachosomwa na watu wengi mpaka sasa kinaitwa The prince na alikiandika mwaka 1513
 
Nilikuwa namkubali enzi zake
 
R I P mwalimu
 
Afurika kila kitu ni yesi saa
 
 
NUKUU NO 4#


Kuna watu wanafikiri pengine hii kazi (urais) ni rahisi lakini kama unawapenda watu wako na unaumizwa na hali zao na unapenda uwavushe, hii si kazi rahisi.

Umekuja huku nje ya nchi na umeona mchakamchaka wa mikutano.
Usiku wa kuamkia leo nimepata usingizi saa11alfajiri na bado nina mambo mengine ya kufanya usiku huu.

Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya nne Jakaya Kikwete, wakati wa mahojiano na waandishi wa habari.
 

Rahisi JK
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…