Makapuku Forum

Kweli mkuu yaan hata hizi vurugu za UKUT ni kwa kuwa kuna watu wana taka madaraka mnoo
Sasa si bora tuwape moja kwa moja ielekewe wao ndo wata tawala tuu
Inategemea....kuna wengine wakipata hiyo chance ndo huanza visa
Mi naona mfumo wa MULTIPARTY DEMOCRACY ufutwe kibaki CCM tu under KINGDOMSHIP
Naona mauzauza tu

..........
.
 
Hahahaa
Nadhan kuna shda zaid ya hiyo, ntawaibukia kiwaulza
Kawaulize.....tena wangekomaa now Mchawi angekuwa out Top Ten

Kawaida binadamu tuna asili ya wivu & roho ya kwanini hivyo palipo na wengi hapakosekani wazee wa wivu mfn yule aliyekuwa akijiita Kapuku mkongwe/mzee alisepa kimyamimya baada ya kuona kuna madogo wanamporomosha kwenye ile list so akaonekana kuchukia na kusepa bila kuaga now anahangaika kupiga sfori chitchat hapahapa
Sio wote waliofurahia thread kusonga mbele
...............
 
 
Eee
Umeongea la maana iwe kama china wewe kama unataka siasa ingia CCM huko huko mkapambane, then si wana nchi tuna taka huduma tuu
Tatizo waafrika tuna matumbo makubwa(wabinafsi/mafisadi)
Huku wanaitafuna tu nchi huduma muhimu hakuna samtaimu nikiendaga kijijini siamini....miaka 50+ ya uhuru barabara full vumbi,umeme majanga,zahanati uchwara,no pembejeo
Duh acha tu
............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…