Makapuku Forum

Numbar 3 Basket Star wengi ya viumbe hawa nao huwa kwenye kina kirefu na wanasema kinacho fanya waeonekane hivo ni kwa kuwa wana mikono iliyo kama matawai, nimeambiwa kuwa hawana damu, na wanapumua kwa mfumo tofauti na viumbe vingne vya baharini
So kwa kuwa tofauti hvo, ni moja ya viumbe vinavo ishi sana baharini kwani huishi zaid ya miaka 35
 
Number 2, Carpet Shark sasa hawa ni aina ya papa ambao husambaa kama kapeti, na wako wa aina nyingi sana na si wote wako kama kapeti ila wengi wako hvo, na pia kwa kuwa wao hawana midomo mikubwa wao hula samaki wadogo wadogo na wengne hujitahid kula hata bomboo sharks, na.........
 
Yani hata hawaeleweki
 
Kama Tausi....
Huyu mzuri kweli kweli
 
Duuh Viliumbwa vingi sana Duniani
 
Number 1, Black Swallower hii kama lilivo jina lake ina kadiriwa kuwa kina tumbo kubwa kuliko mwili wake , huwa ina uwezo wa kumeza samaki warefu mara 2 zaid yake, na huweza kumeza viumbe wenye uzito mara 10 zaid yake, na wakati mwingine humeza vitu vikubwa zaod na hushindwa kumeng'enywa kirahis hivo huotoa gesi sana na kuelea juu ya bahari, na ndio hapo huonekana ki rahisi, kuna wakti Swallower mmoja mwenye sentimeta 19 alikutwa akiwa amekufa na tumboni alimeza nyoka wa kwenye maji we sentimeta 84
 
Hakika mtu akila samaki huyu ana moyo mashine
 
Aisee inafurahisha samaki mdogo kama huyo akameza nyoma wa 84cm ni kali hiyoo
 
Jaman thanks alot, mlikuwa nami
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma

Kabla sja ondoka niseme nime wakumbuka watu wafuatao
Werrasom
Briz

Hata hawa japo waliondoka muda mrefu
Liz
Th name
Amazing
Manuu
Emmyguy
Sumbai
Linamo

Hata
Quigley na shululu kidogo(japo hata leo walikuepo)

"In the end we will remember not tha words of our enemies, but the silence of our friends"

Martin Ruther King jr.

Thanks.
 
Huyu katisha.
Manake sio kwa kula huko
 
Asante kwa top 10 cuzzo.
Naona Leo umeaga kwa mwendo kasi
 
Just lika
crush

Nme kuelewa sana hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…