Jordan kwangu ndio mchezaji bora wa wakati wote pale NBA.
Unakumbuka alivyotembea hewani mara tatu?
Na yule rafiki wa Rais wa Korea ya kaskazini
Weka pichaJordan kwangu ndio mchezaji bora wa wakati wote pale NBA.
Unakumbuka alivyotembea hewani mara tatu?

Pole dadaa
Hujui kama upande wa kushoto ni wa shetani
Warembo kweli kweli
Weka picha kuthibitisha ni wa shetani na sio wakoHujui kama upande wa kushoto ni wa shetani
Weka picha kuthibitisha ni wa shetani na sio wako

Kuna declassified papers zimetolewa kama documentary jinsi walivyohangaika kumuua El Commandante Fidel Castro lakini wakashindwa inashangaza. Wanakiri kabisa kuwa hawajawahi kuona mtu mwenye mtandao wa kiusalama, machale na common sense kama Fidel...Mipango yao kufeli huwa ni nadra sana, hata watumie miaka 50 lazima wafanikiwe
Weka picha![]()
Ahsante kwa picha maridhawa.
Hao wakifa wanakufa wote hapo...upendo wa kweli

Ila kuna Operation huwa wanashindwa na wakishindwa hawatangazi.Mipango yao kufeli huwa ni nadra sana, hata watumie miaka 50 lazima wafanikiwe
Pia Operesheni Eagle clawKuna declassified papers zimetolewa kama documentary jinsi walivyohangaika kumuua El Commandante Fidel Castro lakini wakashindwa inashangaza. Wanakiri kabisa kuwa hawajawahi kuona mtu mwenye mtandao wa kiusalama, machale na common sense kama Fidel...
Yeah...Kuna mifano mingi tu ambayo huwa wanashindwa kupata wanachotaka na kuishia ku-under estimate hali halisi (Black Hawk Down, Benghazi...)
Ibra cadabra
Memphis the flop
Air walk.