Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Presha ya kutumbuliwa maskini...Leo katika Historia:
1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua.
Ni tukio lililowashangaza wengi.
Presha ya kutumbuliwa maskini...Leo katika Historia:
1954 - Rais Getulio Dornelles Vargas wa Brazil anajiua.
Ni tukio lililowashangaza wengi.
1991 - Ukraine yajitangazia uhuru wake toka kwa Urusi.
Mbona umecheka sana Quigley?
Wabaguzi balaa
Huyo nae sijui kwanini aliua..sema lazma kuna watu wapo nyuma ya pazia wamemkaanga mwenzao.1981 - Mark David Chapman anahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mwanamuziki John Lennon.
Labda na wananchi, yeye ndio alikuwa Rais wa nchiPresha ya kutumbuliwa maskini...
Aliamua kujipiga risasi ya kwenye moyo baada ya kupoteza nguvu ya ushawishi katika serikali yake ambapo Jeshi la Nchi hiyo likitaka ajiuzulu.Kisa nini aisee
Asante mwenyekiti kwa historia...Leo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Weka picha, tukutane kesho.
1929 - Yasser Arafat anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Palestina.
Yap ni kweli. Ukifatilia sana unakuta kuna uhasamaHuyo nae sijui kwanini aliua..sema lazma kuna watu wapo nyuma ya pazia wamemkaanga mwenzao.
Maskini...Aliamua kujipiga risasi ya kwenye moyo baada ya kupoteza nguvu ya ushawishi katika serikali yake ambapo Jeshi la Nchi hiyo likitaka ajiuzulu.
cc Bitoz

si ndo hapoKumbe hata porisi wa awamu ya 5 pia wanakufa??
Asante sana!!Asante mwenyekiti kwa historia...
Nilimkubali sana Alafat. RIP
Inaaminika aliuwawa kwa sumu
USA timuInaaminika aliuwawa kwa sumu
1982 - Jose Bosingwa anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Ureno.
1988 - Maya Yoshida anazaliwa.
Ni mchezaji wa Southampton.
Ni siku ya Kobe Bryant huko jijini California.