Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Njema kabisa, vipi wewe?Jimena za kuamka
Njema kabisa, vipi wewe?Jimena za kuamka
Angalia kwenye gazeti la Tanzania daimaWeka picha
Mwigulu kuvaa hivyo ndio majambazi waogope ama,maana yake ni nini
Niko poa kabisaNjema kabisa, vipi wewe?
Utawala huu.....bado waziri wa maji kuvaa maboya na wa uchukuzi kidandia ndegeMwigulu kuvaa hivyo ndio majambazi waogope ama,maana yake ni nini
Kabisa, wa uchukuzi alidandia treniUtawala huu.....bado waziri wa maji kuvaa maboya na wa uchukuzi kidandia ndege
![]()
![]()
![]()
..,............
Ummy Mwalimu nae ayaenda Muhi2 kujigeuza nurseKabisa, wa uchukuzi alidandia treni
Mwakyembe yeye anajifanya msoma hukumu ndani ya BungeUmmy Mealomu nae ayaenda Muhi2 kujigeuza nurse
Maigizo yanaendelea
............
MaigizoUtawala huu.....bado waziri wa maji kuvaa maboya na wa uchukuzi kidandia ndege
![]()
![]()
![]()
..,............
Halafu Polisi waliokufa ni wa4Mwakyembe yeye anajifanya msoma hukumu ndani ya Bunge