shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Unaweza kuinunua, ukaivaa baada ya 1st SeptemberView attachment 386568
Mi naikubali hii.....isingekuwa mkwara wa Dikteta uchwara ningeinunua
![]()
![]()
![]()
..........
Unaweza kuinunua, ukaivaa baada ya 1st SeptemberView attachment 386568
Mi naikubali hii.....isingekuwa mkwara wa Dikteta uchwara ningeinunua
![]()
![]()
![]()
..........
Wamchukue tuLakini wametudhulumu mvunja UKUTA yaan magu, wanadai ni mkenya
Nakumbuka uliivaa eid mubarakMi Mkristo lkn namiliki kanzu na kikofia cha kuzugia 7bu nazurura mikoa mingi mfn Tanga,Kigoma.Zenji huko bila kanzu unajishtukia kwa mwenyeji wako...hata futari huli
![]()
![]()
![]()
.......
Haivaliki ndugu utalala lupangoUnaweza kuinunua, ukaivaa baada ya 1st September
Kuna mtu anamsumbua, sijui ni jimena au sweetiepieHaivaliki ndugu utalala lupango
Where is TOP TEN kimya
..........
Labda App magumashi...mi huwa nazima simu na kuwasha mara kibaoKuna mtu anamsumbua, sijui ni jimena au sweetiepie
Na wiki hii inasumbua sanaLabda App magumashi...mi huwa nazima simu na kuwasha mara kibao
.......
Aku pengine ana yake tu...pia nashangaa ame stop ghafla.Kuna mtu anamsumbua, sijui ni jimena au sweetiepie
Yule mjaluo yule naye sijui vipi...ila nimecheka sana jirani eti anamezea mate ukuta..nahisi alitamani hiyo idea iwe hata Kenya.Odinga ameishaanza kuimezea mate hiyo idea ya UKUTA


We nae ni muoga...View attachment 386568
Mi naikubali hii.....isingekuwa mkwara wa Dikteta uchwara ningeinunua
![]()
![]()
![]()
..........
Duuh...Lakini wametudhulumu mvunja UKUTA yaan magu, wanadai ni mkenya


Na ni nchi masikini sana6. Romania View attachment 386557hii ni nchi ambayo asilimia 86% wana sali katika makanisa ya ki kiristo ya ki Orthodox, wa protestant ni 5.2% na wakatoliki ni 4.7%, asilimia 89% ya watu wa Romania ni wana dini wazuri kabsa, wana sema Romania ni porini sana pia , miaka ya nyuma nchi hiyo iligubikwa na " spirits and monsters, most notably vampires and werewolves," pia ina daiwa wa Romania hapo zamani wakilikuwa ni moja ya watu wachawi zaid barani Ulaya , hivo dini ilikuwa ni ya muhimu sana huko
Wafia dini na umaskini damudamu wanawaza utajiri wa huko Paradiso ...masaa 3 daily kusaliNa ni nchi masikini sana
Duuuh6. Romania View attachment 386557hii ni nchi ambayo asilimia 86% wana sali katika makanisa ya ki kiristo ya ki Orthodox, wa protestant ni 5.2% na wakatoliki ni 4.7%, asilimia 89% ya watu wa Romania ni wana dini wazuri kabsa, wana sema Romania ni porini sana pia , miaka ya nyuma nchi hiyo iligubikwa na " spirits and monsters, most notably vampires and werewolves," pia ina daiwa wa Romania hapo zamani wakilikuwa ni moja ya watu wachawi zaid barani Ulaya , hivo dini ilikuwa ni ya muhimu sana huko
Sijaelewa maneno magum5.MacedoniaView attachment 386582 Nestled between Bulgaria and Albania in southern Europe, the country of Macedonia has a rich history. It was conquered many times in the past by many factions that also brought their own religions. Among these were the Ottoman Turks who brought Islam, the Byzantines who brought Christianity and the Bulgarian tsars who brought the Orthodox faith. Today Orthodox is the most predominant religion. Catholicism, Islam and Judaism also have strong roots and a presence there. Macedonian practicing worshipers are estimated at 92%. Haya hayaaa japo sku walipa ada lakin someni ki dhungu apo