Makapuku Forum

Makapuku Forum

10. Brazil View attachment 386530nchi hii ya amerika kusini ni nchi ambayo wanaishi matajiri hasa na maskini wa kutupa humo humo, so wananchi wa Brazil ambao wengi ni wakatoliki wana zungumza kireno na wareno na wa hispania ndio walipeleka dini ya ukatoliki huko toka karne ya 16, na dini nyingne nyingne zipi, wakati 64% ni wa katoliki, 22% ni wa protestant, japo kuna atheist wakutosha pia, asilimia 85 ya Wa Brazil wanaamini wao ni wana dini na hushiriki ki kamilifu mambo yao ya kidini
Mungu awabariki hawa watu
 
7. Iraq
1471973241716.jpg
yaan hawa ni wna dini hado wana uana sasa, asilimia 95 ya wa Iraq ni wa islam, na watu wa dini nyingne ni wachche au hawapo kwani wengi walikimbia baada ya Iraq kuvamiwa na Marekani mwaka 2003, kwani waliogopa wata kuwa wakiteswa, wakati ikiwa hali ni hiyo, asilimia 88 na kidogo wana amini wao ni wana dini wazuri kabisa, japo ina fahamika sana kuwa kwa hali ile ya machafuko watu lazma wamkaribie Mungu wao kwan muda wwte una weza kuondoka dunian, pia ni asilimia 6, tuu ndo wao wana jiona kama si wana dini wazuri
 
7. Iraq View attachment 386548yaan hawa ni wna dini hado wana uana sasa, asilimia 95 ya wa Iraq ni wa islam, na watu wa dini nyingne ni wachche au hawapo kwani wengi walikimbia baada ya Iraq kuvamiwa na Marekani mwaka 2003, kwani waliogopa wata kuwa wakiteswa, wakati ikiwa hali ni hiyo, asilimia 88 na kidogo wana amini wao ni wana dini wazuri kabisa, japo ina fahamika sana kuwa kwa hali ile ya machafuko watu lazma wamkaribie Mungu wao kwan muda wwte una weza kuondoka dunian, pia ni asilimia 6, tuu ndo wao wana jiona kama si wana dini wazuri
1471973906317.jpg
1471973912911.jpg
1471973917969.jpg

Wana misikiti mingi kuliko bar
........
 
7. Iraq View attachment 386548yaan hawa ni wna dini hado wana uana sasa, asilimia 95 ya wa Iraq ni wa islam, na watu wa dini nyingne ni wachche au hawapo kwani wengi walikimbia baada ya Iraq kuvamiwa na Marekani mwaka 2003, kwani waliogopa wata kuwa wakiteswa, wakati ikiwa hali ni hiyo, asilimia 88 na kidogo wana amini wao ni wana dini wazuri kabisa, japo ina fahamika sana kuwa kwa hali ile ya machafuko watu lazma wamkaribie Mungu wao kwan muda wwte una weza kuondoka dunian, pia ni asilimia 6, tuu ndo wao wana jiona kama si wana dini wazuri
Nadhani wakigundua wewe ni mkrito wanakuua. Sio kwa idadi hiyo ya waislam.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom