HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Ebu mulize limamo mimi nani kwake.. Twende pole pole usije kosa ndoaSasa haya yanakuhusu au ndo chokochoko tu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ebu mulize limamo mimi nani kwake.. Twende pole pole usije kosa ndoaSasa haya yanakuhusu au ndo chokochoko tu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mie tena bae ila kwetu jua. [emoji5] [emoji5] [emoji5]baby mvua hii unaonaje ukinifollow chumbani, me nishatangulia
Ila na we ni nouma... Mbishi ka dadaetu jideMi pia ndo ziliniangusha lakini si haba nikatupia 8001[emoji85]
Limamo ndo nani?[emoji57] [emoji57]Ebu mulize limamo mimi nani kwake.. Twende pole pole usije kosa ndoa
haya basi ngoja nkakinoe kisu changu[emoji57] [emoji57] [emoji57] sidhani Kama unacho hizo mbwembwe tu
Sasa na wewe nini kuniumbua ivi... Typing error tu... Haya linamoLimamo ndo nani?[emoji57] [emoji57]
PoleeeSasa na wewe nini kuniumbua ivi... Typing error tu... Haya linamo
Mwidu ndo nini baeila huu ugali na mwidu mtamu duh!
Mwidu ndo nin?ila huu ugali na mwidu mtamu duh!
Oyaa braza! Bibi yako aliondoka??9000 reply inanihusu mimi hiyo
Hii ni gombania goli bro, mi mwenyewe nataka niitupieMpost tu ila ikifika ya [emoji644] [emoji645] [emoji645] [emoji645] kwenda [emoji645] [emoji646] [emoji646] [emoji646] mniachie mwenyewe
naona umemkera mpaka umemfukuza bibi yanguOyaa braza! Bibi yako aliondoka??
Ngoja tuoneHii ni gombania goli bro, mi mwenyewe nataka niitupie
Limamo ndo nani?[emoji57] [emoji57]
Halafu ivi kumbe ni wewe umeyasema hayo nikajua choka... Eeee shauri lako sasa ngoja niwanyime baraka....ohooohoooSasa na wewe nini kuniumbua ivi... Typing error tu... Haya linamo
Baraka[emoji57] [emoji57] kwani we nani?Halafu ivi kumbe ni wewe umeyasema hayo nikajua choka... Eeee shauri lako sasa ngoja niwanyime baraka....ohooohooo
mlenda flani hivi baeMwidu ndo nini bae
Okay bae[emoji5] [emoji5] [emoji5]mlenda flani hivi bae
Kuna mzee wa kulengesha Nahrene yeye anakusoma tu....Mimi Mwenyewe Leo ntatupia km siyo 9000 basi 10,000 mwekundu wa msimbazi.Mpost tu ila ikifika ya [emoji644] [emoji645] [emoji645] [emoji645] kwenda [emoji645] [emoji646] [emoji646] [emoji646] mniachie mwenyewe