Makapuku Forum

Makapuku Forum

Natumai mko salama

Kwa sisi watu ambao ni wanene kdogo, mambo yetu si mabaya , sijawahi kujua uneni ni ugonjwa, asili, au husababishwa na kula tuu

Lakin katiko hilo, wengi huwa wakinenepa wanakuwa wazitoo sanaa , kwa sabu ya mafuta, kdogo yana kuwa si haba
 
Number 10, Dzhambik Khatokhov,kg 162
1471881127938.jpg
uyu dogo ana mika 11 na kwao ni Kabardino-Balkaria, Urusi, alizaliwa kawaida kama watt wengne na alikuwa na kilo 3.3 cha kushangaza baada ya mwaka akawa na kilo 14 akiwa na mika mitatu, alijikuta akiweza kunyanyua hata vitu vyenye uzito wa kilo saba kwani alikuwa na kilo 41, wazazi wake wali wambiwa wa hakikishe wana mpa diet maalum na apunguze kula ispo kuwa uji maalum ndio anywe, lakn cha kushangaza mama yake alisema Mungu ndo kamuumba mwanae na kiumbe cha Mungu hiko kiachwe kama kilivo, Sasa ana urefu wa futi 5'2 na ana shkiria rekodi ya kuwa mtt mnene zaid kulko wote duniani na akhera
 
Number 10, Dzhambik Khatokhov,kg 162 View attachment 385847 uyu dogo ana mika 11 na kwao ni Kabardino-Balkaria, Urusi, alizaliwa kawaida kama watt wengne na alikuwa na kilo 3.3 cha kushangaza baada ya mwaka akawa na kilo 14 akiwa na mika mitatu, alijikuta akiweza kunyanyua hata vitu vyenye uzito wa kilo saba kwani alikuwa na kilo 41, wazazi wake wali wambiwa wa hakikishe wana mpa diet maalum na apunguze kula ispo kuwa uji maalum ndio anywe, lakn cha kushangaza mama yake alisema Mungu ndo kamuumba mwanae na kiumbe cha Mungu hiko kiachwe kama kilivo, Sasa ana urefu wa futi 5'2 na ana shkiria rekodi ya kuwa mtt mnene zaid kulko wote duniani na akhera
KWA MENYU HIYO ANAACHAJE KUWA BONGE NYANYA??
 
Number 9, Paul Mason. Kg 168
1471881746260.jpg
Paul aliwahi kuwa mtu mnene kuliko wote kwani alikiwa na kilo takriban 504, lakin baada ya kufanyiwa Gastric operation, ndio aka pungua kias hko, lakin pia ana sema yeye hufanya mazoez yanayo ua calori 20,000 kwa siku
Ika yeye unene huo uwa ana itupia lawama wizara ya afya ya uingereza kwani ana dai alipo fikisha kilo 200 hawaku mshauri apungue
 
Number 8, Manuel Uribe, kg 200
1471882144351.jpg

Huyu bhana aliwahi kuwa na zaid ya kilo 600 (ambazo hazijawahi fikiwa na binadamu yyte), lakini kwakuwa nadaktari walimpangia diet kapungua kama hvo, Uribe alizaliwa June 11, 1965 na kwa sasa anaishi huko Monterrey, Mexico, huyu alipata unene kwa kuumwa Mobrid Obesity, baadaye alionesha nia ya kupunguza kilo aliweza kupunguza zaid ya kilo 400, huyu bhana hajawahi kutoja kwenye kitanda anacho lalia tangu mwezi march mwaka 2001

Ba amekwisha wahi kuoneshwa kwenye baadgi ya documentaries kuhusiana na uzito wake
 
Number 7, Michael Hebranko, kg 275
1471882641939.jpg
huyu alizaliwa May 14, 1953, sasa huyu bwana mwaka 1990 aliwahi kupoteza uzito kutoka kilo 411 mpaka kilo 97 na alipunguza ukubwa wa kiune toka cm 290,hadi cm 91, akiwa hospitali ya Luke huko New York, na alirekodiwa kama mtu aliye poteza uzito zaid kwenyw historia ya dunia na kuingia kitabu cha Guinnes, hivo baada ya hapo alitembelea nchi mbali mbali kwaa ajili ya kutoa ushuhuda na kutoa semina mbali mbali namna gani mtu apunguze unene, lakini cha kushangaza, baada ya safari hzo na kusheregeka huko kwingii na kuwa roke model wa wengi jamaa alikuja kurudia unene na kuongezeka zaid ya kilo 400 tena , kwa sasa ana ishi New York na ana jaribu kupungiza tena uzito ila kwa sasa si kimwendo kasi ki hvooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom