Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Habari mtoto wa mjini...Hii App ya JF ilikuwa inazingua sanaaa kwangu ndo mana mnaona nmekuwa nko kimya sanaaaa.
Nawasalimu wote humu

Habari mtoto wa mjini...Hii App ya JF ilikuwa inazingua sanaaa kwangu ndo mana mnaona nmekuwa nko kimya sanaaaa.
Nawasalimu wote humu

Sikufahamu hii...
Kitu ya arushaIla ako na macho kama anatumia na ile kitu ingine...
Kijiti ni gani??
Ya kale ni dhahabuLinavuma sana sasa hivi
Alikuwa kigoma na city boy zake huyoHabari mtoto wa mjini...![]()
EwaaaaaaKitu ya arusha