Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,651
- 25,843
Weka picha
Weka picha
Asante kwa magazeti.View attachment 385557View attachment 385558
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa BALE ndio tunafikia mwisho kabisa katika kuangalia kurasa za mbele na nyuma za magazeti haya yaliyotufikia kwenye meza yetu asubuhi ya Leo.
Niite Jimena Jimenes muwe na siku njema na wiki yenye mafanikio
hahaha...Walianza zamani wenzetu...sie huku bongo tunatamba na Vitsi tu
Asante kwa historia...naomba picha ya 88k. #Teamwekapicha#
unajunga nini...Kenyatta Jr ati anakula Miraa ya kutosha na kijiti sema vile wengi hawajamsandia...R I P Kenyatta.
Kenyata jr ako mjengoni kuwakilisha
Mtindi wa nguvu.
Ila ako na macho kama anatumia na ile kitu ingine...unajunga nini...Kenyatta Jr ati anakula Miraa ya kutosha na kijiti sema vile wengi hawajamsandia...
Hiki kiwanja nakitaka
Haya sasa shusha Riwaya... Maana mi nimeshasahau hata tulipoishia
Hao ndio wakimataifa
Mwendo wa kuyabusti.
Mkuu kwema?Mwendo wa kuyabusti.
Linavuma sana sasa hiviUnaa ni neno la zamani, sio jipya
Hi Shululu....evening!Morning all kapuku