Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 6, Patrick Deuel, kg 285
alipata kuzaliwa March 28, 1962 naye aliwahi oata kuwa mtu mzito kuliko wote duniani kwani aliwagi fikisha kilo 500 na aka andaliwa ddocumentary “Half Ton Man” yaan *mtu nusu tani" ambayo naye alioneshwa , kwa kuwa alinenepa sana ilibidi chumba chake kivunjwe ili aweze kutolewa maana alkuwa hatoshi, lakin kwa msaada wa diet, na oparesheni ya kuondoa nyama uzembe alifanikiwa kupunguza zaid ya kilo 300 na alipo ishia ndo hapo alipo



?