Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante kwa historia...naomba picha ya 88kLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa 88k, sina la ziada.
Karibu JJ kwa magazeti.
Byeee....

. #Teamwekapicha#Asante kwa historia...naomba picha ya 88kLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa 88k, sina la ziada.
Karibu JJ kwa magazeti.
Byeee....

. #Teamwekapicha#Bongo hata Vits bado hawajatengenezaWalianza zamani wenzetu...sie huku bongo tunatamba na Vitsi tu
Asante sana kwa Magazeti nimecheka ile ya "Acheni Unaa"View attachment 385557View attachment 385558
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa BALE ndio tunafikia mwisho kabisa katika kuangalia kurasa za mbele na nyuma za magazeti haya yaliyotufikia kwenye meza yetu asubuhi ya Leo.
Niite Jimena Jimenes muwe na siku njema na wiki yenye mafanikio


mzee wa Parole katuletea msemo!1961 - Ida Siekmann anafariki alipojaribu kuvuka ukuta wa Berlin.
Ni sheederAsante sana kwa Magazeti nimecheka ile ya "Acheni Unaa"mzee wa Parole katuletea msemo!
Imejichokea sisi ya kazi gani...Ni sheeder
Sasa Simba tuifanyie kwa unaa kwa lipi??

1973 - Bunge la Chile lapiga kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Salvador Allende.
Bunge liliadhimia Rais ajiuzulu ili kupisha uchaguzi mpya, vinginevyo wangetumia nguvu kumuondoa.
Hii gari ya wazi kufika TZ tutasubiri sana...
Hivi...walikuwa wanakimbia nini huko kwao? inabidi nitafute sana nisome hiyo historia kwa undaniImagine mpaka amekufa
Mi hata sielewi kwakweliHivi...walikuwa wanakimbia nini huko kwao? inabidi nitafute sana nisome hiyo historia kwa undani
1968 - Papa Paul wa VI anafanya ziara katika Jiji la Bogota huko Colombia.
Inakuwa ni ziara ya kwanza ya Papa katika nchi za Amerika ya Kusini.
1991 - Federico Macheda anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya Italy.
1978 - Jomo Kenyatta anafariki Dunia.
Alikuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
R I P Kenyatta.1978 - Jomo Kenyatta anafariki Dunia.
Alikuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
Unaa ni neno la zamani, sio jipyaAsante sana kwa Magazeti nimecheka ile ya "Acheni Unaa"mzee wa Parole katuletea msemo!
Morning shululuMorning all kapuku