JOKE OF DA WEEK:
Mzee Akilimali ndo kibabu pekee Bongoland ambacho ni mbumbumbu na fukara wa kutupwa lakini chenye ushawishi hapa mjini na fix za kutupia.....km huamini hiki kibabu ndo chanzo cha migogoro mara kwa mara pale Jangwani........
View attachment 385404
Kweli watu na nyota zao
................