Anataka tujiite AL SHABAAB
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........................
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Atakujibu uliyemuuliza. Ila naomba utusaidie jina tu
Haya nimekupa hiyo, nilikuwa na mpango wa kupita kimya kimya maana simu yangu haina chaji, ila umenisikitisha nikaona nikuachie[emoji3]Yani leo like zimeniendea kushoto!! Kuna mtu kanipuliza nini?
Mi shazoea jina letu. Naona fahari sana kuwa kapuku.Atakujibu uliyemuuliza. Ila naomba utusaidie jina tu
lengo langu tayari limeshatimia..Hahahahaa..... mie nilisema, uzuri kingereza sijui.
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fix hizo bibiInawezekana kabisa, kwani nyie wote si vijana humu?
Maana ya Al Shabab ni vijana, kama ulikuwa huelewi.
Hata Yanga ukiwatafsiri Kiarabu wanakuwa ni Al Shabab Afriqiya, vijana wa Kiafrika.
una bahati sana weweHahaaa utachoka kweli
Naona bibi yetu umekuja kuogelea 'likes' zetu, jinafasi kwa raha zako.Inawezekana kabisa, kwani nyie wote si vijana humu?
Maana ya Al Shabaab ni vijana, kama ulikuwa huelewi.
Hata Yanga ukiwatafsiri Kiarabu wanakuwa ni Al Shabab Afrika, vijana wa Kiafrika.
[emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji144] lizziebettie[emoji444] [emoji444] [emoji444]
Pamoja sanaMi shazoea jina letu. Naona fahari sana kuwa kapuku.
Mtu na chake.Basi ntakuwa nimejiibia mwenyewe..... Maana hana mwingine zaidi yangu
How do I wa Leann Rimes ndo namdediketia ijumaa ya Leo
Sina haja ya kutoa jibu wakati hata wewe jibu unalo.
sasa huoni kama lengo langu la kukuita limeshatimia..We kapuku, ndiyo nini hicho?
Hhahaa bahati ganuna bahati sana wewe
Salama kabisa. Za weweNimesoma post na hata sijazimaliza jinsi zilivyo nyingi. Habari za mchana lakini??
HapanaNingekuwa nnalo jibu nisingeuliza swali.
Hivi hiyo shule ulienda kusomea ujinga?