Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Kubwa lao unazingua. Hebu weka picha tuone ya kwako kwanza.*```TODAY is the 100th year since the TITANIC ship sank. Please show respect to the victims by putting your PHONE in water for just 2minutes.
***************
Aki civics iicho nifanyia o level uwa siamini hadi leoWewe ni Jiniazi mimi nilikuwa ****** wa hesabu. Ila kusema ukweli masomo niliyokuwa natusua sana ni Geography, History na English. Civics O level nilitusua sana nayo.
Mkuu mi nlikuwa nspo soma sana hata 2,sipatWe call it, Kusoma kipaji kufaulu mipango.
HahahaUpo Monduli nini?
Hahaha....hadi nimecheka ni nini??Aki civics iicho nifanyia o level uwa siamini hadi leo
SwadaktaaaaWhat you mean to me u'll never know
Deep inside I need to show
You came into my life sent from above
Better than a dream, such a perfect love
Hayo ndo maneno meyaskia
Andika wosia kabisa.Hahahaha
Mimi nasubiri tuu hiyo tarehe moja
Hawajatupa ratiba tuta andamanaje lakn
Asante sana, maana na jioni hii tulivu mambo yanakuwa murua kabisa.Eternal Feat Bebe Winans I Wanna Be The Only O…:
Mpaka spanish???Para sientes...
Yaaan nlijuaga ni A kwanza nimekaa om nikawa namwambia dingi yaan kwa nlivo jibu ike civics naeza itwa bungeniHahaha....hadi nimecheka ni nini??
PointAndika wosia kabisa.
Yes ya kuendee wewe mwenyewe kipenz cha moyo wanguSwa
Swadaktaaaa
Jamani 'Lo siento mucho mwaya wee...mi mwenyewe nilifeli hesabu vibaya sana hadi sitaki kukumbuka.Yaaan nlijuaga ni A kwanza nimekaa om nikawa namwambia dingi yaan kwa nlivo jibu ike civics naeza itwa bungeni
Kilicho kujaaa
Tukionana ntakwambia
Sina hamu yaan
Eti?? 😵Dont be sad
u have me, still
Haina shida...niliwakumbuka tu, sema weka picha tuone weekend ilivyokuwa bize leo...Wikiendi kidogo ina ubize wa hapa na pale
ReceivedYes ya kuendee wewe mwenyewe kipenz cha moyo wangu
Na maana 0 level sikutaka masomo ya Sayansi...nikahama na kuhama.Mimi nilisoma masomo 7 tu.
Ila kwanzia mwakani wanaisoma namba wote sayansi.
Bitoz miyeyusho sanaSasa kama hakusoma vitabu literature ali enjoy nini!!!