Makapuku Forum

Huyu alichukia wadada kwanini?? matatizo ya akili, serial killer...au pengine alitendwa na binti aliyempenda sana (aliachwa)...maana nilifuatiliaga mahojiano (documentary) ya serial killer flani hivi...akasema alikua anaua wanawake maana mama yake mzazi hakuwa anamjali wala kumsikiliza tangu akiwa mdogo...ikapelekea akawa hajiamini tena na akaona maisha hayana thamani kwake tena ikampelekea kuchukia wanawake. Mbona nilichoka mwenyewe. Aliua Jumla ya wanawake kama 20 hivi ndani ya mji mmoja huko Marekani mwa miaka ya 80.
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Ngedere

...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…