Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Kwa mujibu wa taarifa za shirika la ujasusi la zamani la Urusi, KGB jamaa alipandikwa na CIA.Ndiyo aliimaliza hiyo jumuiya ya USSR
Moja kati ya misheni ngumu kuwahi kufanywa na CIA.
Kwa mujibu wa taarifa za shirika la ujasusi la zamani la Urusi, KGB jamaa alipandikwa na CIA.Ndiyo aliimaliza hiyo jumuiya ya USSR
Tupe hata vibao vitatu unavyovikubali toka kwake.Jamani mzee wa Country huyoo Happy birthday Kenny!
Anawindwa Mbowi
Hawaishagi vituko.Wazungu buana![]()
![]()
![]()
![]()
+ bangi piaHappy Birthday Champion.
Ila Jamaica wana vipaji sanaaa vya Music na riadha
Yaaaani ni macrazy haswaaaHawaishagi vituko.
hahaha...pamoja.Shukrani sana kwa historia mwenyekiti a k a bepari
Udhamini wako naona wa kibabe sanaa
1959 - Daniel Sivan anazaliwa.
Ni Profesa na mwanazuoni toka nchini Israel.
Ni mbobezi wa lugha.
Umafia mtupuKwa mujibu wa taarifa za shirika la ujasusi la zamani la Urusi, KGB jamaa alipandikwa na CIA.
Moja kati ya misheni ngumu kuwahi kufanywa na CIA.
Hata Bitoz picha zake zipo maktabaHuyu Monalisa alivuma sana picha yake hadi kwenye Cartoon... inabidi sasa nisome Historia yake vizuri alikuwa nani haswaa hapa Duniani
Ndo naisoma hapa hiyo picha naona ilipata misukosuko sana...mara ilirushiwa mawe, ikarushiwa acid, ikamwagiwa rangi yani kwa kifupi bado sijajua ilikuwa na umuhimu kiasi ganiSijajua kama ilipatikana, ngoja nitaifatilia.
BarikiwaLeo Katika Historia:
Ama kweli mwezi August ni mwezi wa Viongozi.
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Burnley Fc wababe wa Liverpool, tukutane kesho.
Bye!!
Huyo Bitoz labda yupo kwenye katuni inaitwa George of the Jungle...nilimuonaHata Bitoz picha zake zipo maktaba
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
1952 - Jiri Paroubek anazaliwa.
Ni waziri mkuu wa 6 wa Jamhuri ya Czech.
1962 - Tsutomu Miyazaki anazaliwa.
Alikuwa ni muuaji aliyeua wasichana wasio na hatia katika matukio tofauti huko Japan.