Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1983 - Benigno Aquino Jr ambaye alikuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Ufilipino, auwawa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila.
Raia sio watu wazuri waliiba hadi picha ya yule mmama? duuh...Mwenyekiti ilipatikana kweli?Leo katika Historia:
1911- Picha ya Mona lisa yaibwa.
Picha hiyo iliyochorwa na Leonardo da Vinci ilijipatia umaarufu mkubwa.
Ndiyo aliimaliza hiyo jumuiya ya USSR1991 - Jaribio la Mapinduzi la kumuangusha kiongozi wa USSR Mikhail Gobachev lashindikana.
Leo katika Historia:
1911- Picha ya Mona lisa yaibwa.
Picha hiyo iliyochorwa na Leonardo da Vinci ilijipatia umaarufu mkubwa.
Jamani mzee wa Country huyoo Happy birthday Kenny!1938 - Kenny Rogers Anazaliwa.
Ni mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Huyu Monalisa alivuma sana picha yake hadi kwenye Cartoon... inabidi sasa nisome Historia yake vizuri alikuwa nani haswaa hapa Duniani
1983 - Benigno Aquino Jr ambaye alikuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Ufilipino, auwawa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila.
Wazungu buanaLeo katika Historia:
1911- Picha ya Mona lisa yaibwa.
Picha hiyo iliyochorwa na Leonardo da Vinci ilijipatia umaarufu mkubwa.