Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mi napenda vitabu au Novel zinazoelezea mambo ya upelelezi hivi...Crime issues.Ye sijui anapenda vitabu gani?
Mi vya kila aina, fiction and non fictionMi napenda vitabu au Novel zinazoelezea mambo ya upelelezi hivi...Crime issues.
Ndo vizuri unakuwa unafahamu mambo mbalimbaliMi vya kila aina, fiction and non fiction
Za mikasa ya kila aina
Endelea kutupa mrejeshoNdo naisoma hapa hiyo picha naona ilipata misukosuko sana...mara ilirushiwa mawe, ikarushiwa acid, ikamwagiwa rangi yani kwa kifupi bado sijajua ilikuwa na umuhimu kiasi gani
AmenBarikiwa
Lucille - Kenny Rodgers
Live performance
aka
Ngoja nikisikilizeIla kuna kile kibao chake kinaitwa "Lady" nakikubali sana.
Maranyingi husababishwa na matatizo ya Saikolojia.Huyu alichukia wadada kwanini?? matatizo ya akili, serial killer...au pengine alitendwa na binti aliyempenda sana (aliachwa)...maana nilifuatiliaga mahojiano (documentary) ya serial killer flani hivi...akasema alikua anaua wanawake maana mama yake mzazi hakuwa anamjali wala kumsikiliza tangu akiwa mdogo...ikapelekea akawa hajiamini tena na akaona maisha hayana thamani kwake tena ikampelekea kuchukia wanawake. Mbona nilichoka mwenyewe. Aliua Jumla ya wanawake kama 20 hivi ndani ya mji mmoja huko Marekani mwa miaka ya 80.
Unajua hadi miandiko yenu inafanana...mpaka kuna muda najiuliza ni hivi hizi ID ni za mtu mmoja?Hb![]()
![]()
![]()
![]()
Ila we naeee leo lazima nikuulize,
hivi kwanini tunafanana sana interest zetu?
Hii kali...nimecheka sana.
Huyo atakuwa mwizi wa mapapai Jeshini
Mi napenda vitabu au Novel zinazoelezea mambo ya upelelezi hivi...Crime issues.

Serious??Unajua hadi miandiko yenu inafanana...mpaka kuna muda najiuliza ni hivi hizi ID ni za mtu mmoja?
Jeshi la dikteta uchwaraHii kali...nimecheka sana.
Wanajeshi noma wanamuiga dikteta uchwaraHuyo atakuwa mwizi wa mapapai Jeshini