Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1963 - Mfalme Mohamed wa VI nchini Morocco anazaliwa.
Ni kiongozi wa nchi hiyo.
Mimi ni Kapuku King
...........
1963 - Mfalme Mohamed wa VI nchini Morocco anazaliwa.
Ni kiongozi wa nchi hiyo.
Poa poa mkuu mussolinBaadae kidogo.
1986 - Usain Bolt anazaliwa.
Ni moja kati ya wanariadha mahiri na bora wa wakati wote kutoka nchini Jamaica.
Anatimiza miaka 30 leo huku akiwa kwenye michezo ya Olimpiki huko Jijini Rio.
Jimenna kasema atawaletea!Tupe hata vibao vitatu unavyovikubali toka kwake.
Ila kuna kile kibao chake kinaitwa "Lady" nakikubali sana.Tupe hata vibao vitatu unavyovikubali toka kwake.
1988 - Robert Lewandowski anazaliwa.
Mshambuliaji hatari toka nchini Poland anayekipiga klabu ya Bayern Munich.
Kwangu mimi namchukulia kama Mshambuliaji hatari kando ya Luis Suarez.
Lucille - Kenny Rodgers
Live performance
1979 - Guiseppe Meazza anafariki Dunia.
Ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Inter Milan na tinu ya taifa ya Italy.
Kwa heshima yake baada ya kifo chake, Inter Milan inekuwa ikiita uwanja wa San Siro jina la Guiseppe Meazza.
Anawindwa Mbowi
Yupo vizuri sana bado.Huyu mzee anazeeka nywele tu...nyeupee ila binafsi namuona bado yuko fit. Nice song! thanx Jimenna
Huyu alichukia wadada kwanini?? matatizo ya akili, serial killer...au pengine alitendwa na binti aliyempenda sana (aliachwa)...maana nilifuatiliaga mahojiano (documentary) ya serial killer flani hivi...akasema alikua anaua wanawake maana mama yake mzazi hakuwa anamjali wala kumsikiliza tangu akiwa mdogo...ikapelekea akawa hajiamini tena na akaona maisha hayana thamani kwake tena ikampelekea kuchukia wanawake. Mbona nilichoka mwenyewe. Aliua Jumla ya wanawake kama 20 hivi ndani ya mji mmoja huko Marekani mwa miaka ya 80.
Mhhhhh.....
Huyo Bitoz labda yupo kwenye katuni inaitwa George of the Jungle...nilimuona
Ana kasura flani hivi amazing
Bora umeligundua hilo...Ana kasura flani hivi amazing
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya NgedereHuyu alichukia wadada kwanini?? matatizo ya akili, serial killer...au pengine alitendwa na binti aliyempenda sana (aliachwa)...maana nilifuatiliaga mahojiano (documentary) ya serial killer flani hivi...akasema alikua anaua wanawake maana mama yake mzazi hakuwa anamjali wala kumsikiliza tangu akiwa mdogo...ikapelekea akawa hajiamini tena na akaona maisha hayana thamani kwake tena ikampelekea kuchukia wanawake. Mbona nilichoka mwenyewe. Aliua Jumla ya wanawake kama 20 hivi ndani ya mji mmoja huko Marekani mwa miaka ya 80.
Nampigaga picha UngabureBitoz hawa Ngedere unawatoa wapi...![]()