Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Umafia1983 - Benigno Aquino Jr ambaye alikuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Ufilipino, auwawa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila.
Umafia1983 - Benigno Aquino Jr ambaye alikuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Ufilipino, auwawa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila.
Huyu jamaa nilikuwa napenda sana jina lake Gobachev1991 - Jaribio la Mapinduzi la kumuangusha kiongozi wa USSR Mikhail Gobachev lashindikana.
Nampendaaaaaaaaa leo tutapata kusikiliza record zake kadhaa hapa hapa KF1938 - Kenny Rogers Anazaliwa.
Ni mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Kavu

1991 - Jaribio la Mapinduzi la kumuangusha kiongozi wa USSR Mikhail Gobachev lashindikana.
Ukishaisoma uilete hapa..... Tujue kulikoni hadi picha yake kuibiwaHuyu Monalisa alivuma sana picha yake hadi kwenye Cartoon... inabidi sasa nisome Historia yake vizuri alikuwa nani haswaa hapa Duniani
1962 - Tsutomu Miyazaki anazaliwa.
Alikuwa ni muuaji aliyeua wasichana wasio na hatia katika matukio tofauti huko Japan.

Happy Birthday Champion.1986 - Usain Bolt anazaliwa.
Ni moja kati ya wanariadha mahiri na bora wa wakati wote kutoka nchini Jamaica.
Anatimiza miaka 30 leo huku akiwa kwenye michezo ya Olimpiki huko Jijini Rio.
Huyu mtu ni sheeeeder uwanjani1988 - Robert Lewandowski anazaliwa.
Mshambuliaji hatari toka nchini Poland anayekipiga klabu ya Bayern Munich.
Kwangu mimi namchukulia kama Mshambuliaji hatari kando ya Luis Suarez.
R I P2000 - Daniel Lisulo anafariki.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Zambia.
Huyo jamaa alikuwa sawa kiakili kweli? au ndio serial killer
1938 - Kenny Rogers Anazaliwa.
Ni mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
Lazima alikuwa ana tatizo la akiliHuyo jamaa alikuwa sawa kiakili kweli? au ndio serial killer
Wezi orijino sio uchwaraWatu wamebobea kwa wizi
Sijajua kama ilipatikana, ngoja nitaifatilia.Raia sio watu wazuri waliiba hadi picha ya yule mmama? duuh...Mwenyekiti ilipatikana kweli?
Shukrani sana kwa historia mwenyekiti a k a bepariLeo Katika Historia:
Ama kweli mwezi August ni mwezi wa Viongozi.
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Burnley Fc wababe wa Liverpool, tukutane kesho.
Bye!!