Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Asante kwa kunielewa, hapa twafurahi tu nothing serious dadangu...hakuna cha uhusiano wala nini, so usimaind dadanguManeno makali sana hayo nimeandika...Ntaedit kaka
Asante kwa kunielewa, hapa twafurahi tu nothing serious dadangu...hakuna cha uhusiano wala nini, so usimaind dadanguManeno makali sana hayo nimeandika...Ntaedit kaka
Nakupenda pia kaka angu Quigley...niliabudu jana. AmenSweetiepie, nakupenda, wew ni dadangu, nami ni kakako daima,
Hebu tuache haya ya utani rafiki yangu..tukaabudu
Biblia kwenye zaburi yasema,
Heri mtu yule asiyeketi barazani pa wenye mzaha.
Barikiwa na tuwe na ibada njema wote na Mungu aturehemu
Tayari.Maneno makali sana hayo nimeandika...Ntaedit kaka
Asante sana kwa newsView attachment 385051View attachment 385052View attachment 385054
Na mpaka hapo basi ndio tumefikia mwisho kabisa katika kuyaangalia yale magazeti yaliyotufikia kwenye meza yetu asubuhi ya leo. Asante sana kwa wadhamini wetu ambao ni Jimena na post ya 87k pamoja nae Ibra kadabra.... Nawashukuru wote kwa kuwa pamoja nami
Niite Jimena Jimenes de Lafuma
Adios
Karibu. Naona finally leo mtambo umekaa sawa 100%Asante sana kwa news
I know...i never thought you would take it seriously, najua watu si wanaelewa ni Joke. ila Nimesha edit tayariAsante kwa kunielewa, hapa twafurahi tu nothing serious dadangu...hakuna cha uhusiano wala nini, so usimaind dadangu
Asante kwa magazeti...sasa naona haya mambo ya watumishi hewa itakuwa shida sanaView attachment 385051View attachment 385052View attachment 385054
Na mpaka hapo basi ndio tumefikia mwisho kabisa katika kuyaangalia yale magazeti yaliyotufikia kwenye meza yetu asubuhi ya leo. Asante sana kwa wadhamini wetu ambao ni Jimena na post ya 87k pamoja nae Ibra kadabra.... Nawashukuru wote kwa kuwa pamoja nami
Niite Jimena Jimenes de Lafuma
Adios
YapKaribu. Naona finally leo mambo umekaa sawa 100%
Imebaki hiyo uliyoni quote ndio siiwezi kui edit.Hahaha hebu edit hapo haraka dadangu
ThanxImebaki hiyo uliyoni quote ndio siiwezi kui edit.
Umewahi ona wapi mtu anajuta huku akichekaRoho hainiumi sana sababu.. i felt humiliated infront of other Kapukuz... nisikitike nini...i even regret gave all myself to you!!! ...![]()

Hahaha ni sheedarUmewahi ona wapi mtu anajuta huku akicheka![]()
![]()
![]()
Watu wamebobea kwa wiziLeo katika Historia:
1911- Picha ya Mona lisa yaibwa.
Picha hiyo iliyochorwa na Leonardo da Vinci ilijipatia umaarufu mkubwa.